Wakuu.
Ni kilio Cha jamaa angu kilisikika huku akionekana kughadhabika Sana akidai kuwa.
Platform maarufu ya forex ijulikanayo kwa jina la MTFE imewaliza watu baada ya pesa kukataa kutoka.
Kila walijaribu Kutoa pesa wanaambiwa Kuna tatizo limejitokeza wajaribu tena baada ya siku saba, lakini...