mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,390
- 9,211
Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani.
Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona waTanganyika hawana pakushika na alikua anaongea ambayo wengi walitaka kuyasikia..
Kijana alienda mbali na kudai ataleta satellite na dron, akasema ataipaparaizi B.O.T na mfumo wa jeshi, akawaonya Tiss nakusema atawapararaizi na wao pamoja na ikulu wakijaribu kuzuia D9🙌🙌.
HUYU KIJANA NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE