kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

    Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM Nadhani waharifu...
  2. JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Damour aeleza kijana wake alivyochukiliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe

    Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Kijana adaiwa achukuliwa na wasiojulikama wakiwa wamevalia mask nyeusi

    Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
  4. JamiiForums Tanzania PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

  5. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuna kijana Usariver alipewa shilingi 50,000 na kuahidiwa Tsh. Milioni 5 ili ashiriki (maandamano)

    "Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki. Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'...
  6. JamiiForums Tanzania Wazo bunifu kwa kijana wa Kitanzania linahitajika

    Mambo Vijana Tanzania !. Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa. Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa nimeambatanisha kipepetushi toka Wizara ya Vijana. Oya Kijana karibu sana. Mshtue na mwenzio chap kwa haraka.
  7. JamiiForums Tanzania Kwako Kijanam, jenga utaratibu wa kujiuliza maswali magumu kuhusu maisha yako

    Jenga utamaduni wa kujiuliza mwenyewe maswali magumu kuhusu maisha yako!
  8. JamiiForums Tanzania Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe

    Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe Stop this madness. Hilo kosa utalijutia maisha yako yote.
  9. JamiiForums Tanzania Wazo la uchumi kwa Tsh.50,000,000 kwa kijana: Uundaji wa kiwanda cha Nguo

    Habari Waziri wa Vijana Tanzania !. Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=). Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on progree products) yaani kuchakata kitambaa kuwa nguo au vazi kamili( Finished products). Kupitia...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana wa Insurance

    Habarini wakuu, Natafuta kijana au mtu yeyote aliyesomea Insurance (level yoyote), ambaye kwa sasa hana kazi lakini ana motivation, nidhamu, na utayari wa kufanya kazi kwa juhudi. Nina mpango wa kusajili Insurance Agency, hivyo nahitaji mtu sahihi atakayenisaidia kuanzisha na kuendesha...
  11. JamiiForums Tanzania Kijana ambaye yupo na miaka 20+ anakuwa anaona miaka 30 ni mingi sana , vile vile kijana mwenye miaka 30+ anakuwa anaona miaka 40 ni mingi sana

    Huwa nikikaa na vijana hasa , ambao wapo early twenties na ambao wapo early thirties Ni kama wanaishi katika Dunia FAKE ambayo sio genuine. O.G Utakuta ana miaka 20+ ila anakuambia mpaka anaingia miaka 30 atakuwa amesha Fu-ck odds ana Nyumba , gari , biashara n.k Akiamini miaka 30 kuifikia ni...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Vijana watumie vyeti vya chuo kama dhamana ya mikopo baada ya kuhitimu

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha mazuri ni lazima, ewe kijana wa kiume set standards zako kisha ishi

    Salaam jamiiforum forum. Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu, Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu. Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini vya pesa. Kwa pesa ya Leo kibongobongo unaweza kuta ni milioni 300😂 maana kuuza roho ya mtu Kwa Kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani hapa Tanzania unaweza kumshauri kijana anayejitafuta akaishi na akipambana uwezekano wa kutoboa upo?

    Wakuu kama kijana tunapitia hali ngumu katika kuchagua jambo litakalotusaidia hapo baadae. je ni mkoa gani unaweza kumshauli kijana anayejitafuta kimaisha akaishi, ambapo akienda mkoa huo akipambana uwezekano wa kutoboa kimaisha upo?.ukitaja mkoa naomba utoe na sababu
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  16. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
  17. JamiiForums Tanzania KILIMANJARO: Kijana afariki kwa kujinyonga Kata ya Machame, anakuwa kijana wanne kujinyonga katika kata hiyo ndani ya Miezi 18

    Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 35 ajulikanae kwa jina la Allen Malya anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka lake, tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kitongoji cha Sereni Kijiji cha Usari, Kata ya Machame Narumu, Kilimanjaro. Kaka Mkubwa wa marehemu ajulikanae kama Samora...
  18. JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa Car wash haraka

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
  19. JamiiForums Tanzania Kijana wa Nigeria ajiuliza maswali magumu akiwazia hukumu ya kaburi

    "Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
  20. JamiiForums Tanzania Kijana, don't settle with your agemate

    Mwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na rihana ana 37. Umegundua nini?. Criss brown bado kijana mbichi kabisa anaeweza kuvutia hata hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…