kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. KikulachoChako

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwenye ndoa yenye furaha na amani fanya hivi kijana.....

    Habari za muda huu ndugu zanguni........ Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuyaona mengi.....katika hayo mengi kuna mabaya yanayoumiza na kutufunza na kuna mazuri yanayofurahisha....... Suala la NDOA limekuwa mwiba mchungu sana linalotatiza akili za vijana wengi sana.......kiasi kwamba baadhi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  5. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26, lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya

    "Wakuu habari. Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 16 aliamua kuvaa suit ya skirt siku ya prom

    Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana. Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sishauri kwa kijana ambaye amesoma kwenda kujitolea JKT

    Habar zenu Sababu zangu zinanzo nifanya nikate kwakijana mwenyewe elimu degree au diploma au masters kwenda jeshini yaani kujitolea Kwaza, unaenda kuua career yako mwenyewe uwezi kuwa competent katika taaluma yako ambayo umesomea kwasababu kule elimu inawekwa pembeni nguvu inatumika so that...
  9. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Kijana fahamu na ishi kwenye kusudi lako

    Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia. Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako. Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi. Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo. Ni kama tunaiba hii...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kijana wa hovyo namna hii utamfanyaje?

    Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya kutafuta cheti kingine. Kwa mujibu wa video hii hiii cheti cha Education kitabaki kama kumbukumbu tu. Mimi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

    ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira. Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa kwa kijana wa miaka 20 kuoa mwanamke mwenye miaka 27?

    Hii imekaa aje wadau
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

    Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea.. Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana usikubali kuishi kijijini

    Nimepita vijiji vingi vya Tanzania , Zambia, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na South Africa hii, Kuna vitu vinafanana sana kasoro vijiji vya South Africa ( baadhi sio vyote ) vimechangamka na kuweeza kusuport kuishi na kuongezeka kimaisha, Ila vijiji vingi vina matatizo ambayo hata wewe ukiamua...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukipanda ama Basi au Gari linaloendeshwa na Mzee unakuwa na Amani na Safari yako kuliko ukipanda ambalo anaendesha Kijana?

    Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  20. Ushimen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa leo: Kuwa na pesa ama kutokua na pesa isiwe kipimo cha mapenzi/upendo.

    Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa..... Mwanangu: Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli. Binti zangu skilizeni.... Mwanaume akikununulia gari, nyumba or any goods haimaanishi kwamba huo ni upendo kwako. Yawezekana Mudi amepata pesa ya urithi na...
Back
Top Bottom