kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana sitakuja kumsahau kwa alichokifanya

    Huyu kijana alikuwa kama na miaka 20 hivi, ilikuwa mwaka 2005 alikuja kumtembelea baba yake, ni mchanganyiko baba wa kichaga, Mama mjerumani, Nyumbani kwao sinza Dar es Salaam,huku baba yake alikuwa anafanya kazi kama bingwa wa magojwa ya kina mama akilipwa Dola alfu 5 kwa mwezi si haba kipindi...
  2. JamiiForums Tanzania Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  4. JamiiForums Tanzania Ningependa kusikia kauli ya Mwenyekiti mpya kuhusu kijana wetu Soka na wenzake moyo wangu umejawa hofu juu yake

    Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama. Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana jifunze kutambua nyakati 4 muhimu katka mahusiano

    Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time) Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

    JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Tanga , kijana wenu yupo hapa anatafuta Ajira au kazi .

    Wakuu habari . Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 24 Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto) Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo. Elimu yangu ni shahada ya elimu kufundisha kiswahili na kiingereza. Hivyo natafuta Kazi zifuatazo. Kufundisha Kama Mwalimu kuanzia primary...
  8. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

    Mapenzi Shikamoo! Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana unae kataa kuoa hivi ndivyo unatakiwa kuishi

    kataa ndoa uishi miaka mingi ya furaha Damka saa kumi na moja anza usafi wako wa ndani unapo lala deki choo chako vizuri sio kila siku kwa wiki ukifanya siku tatu sio mbaya Baada ya hapo tandika kitanda chako vizuri tu hii ina kusaidia siku unaweza ukazidiwa ukaletwa kwako ujitambui wakakuta...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  11. JamiiForums Tanzania Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari

    Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake. Chanzo...
  12. JamiiForums Tanzania Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

    Kijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi Kwanza changanya blueband na sukari Kisha...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ni Umri sahihi wa Kijana kuingia kwenye maisha ya Ndoa

    Yesu alianza utume wake rasmi baada ya kufikia umri wa miaka 30, kama inavyosema katika maandiko ya Biblia. Katika Injili ya Luka 3:23, inasema, "Yesu alipokuwa na umri wa miaka 30, alianzisha utume wake." Umri huu wa miaka 30 unahusishwa na kipindi cha ukomavu na utayari wa kutimiza dhamira kuu...
  14. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

    Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:- Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana: "Baba huyu ndie binti naetaka kumuoa" Baba: "Hapana usimuoe!"

  17. JamiiForums Tanzania Condester Michael Sichalwe (Mundy): Mbunge Kijana Anayeleta Mapinduzi ya Maendeleo Jimbo la Momba

    Na, Laudence Simkonda-Momba Condester Michael Sichalwe, anayejulikana kama Mundy, ni mwanasiasa mchanga na mwenye nguvu akiwakilisha jimbo la Momba mkoani Songwe, kama Mbunge, amejipatia umaarufu kwa michango yake muhimu katika maendeleo ya jimbo lake. Kazi yake imejikita katika kutatua...
  18. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

    Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena. Hivyo, kwenye makongamani ya vijana diamond ataalikwa kama mtumbuizaji, na si kama Kijana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…