kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

    Tumefanikiwa kuipata picha hii ambayo inaaminika huyu ndio Gustave. Kuna Mamba katika Ziwa Tanganyika anayeitwa "Gustave" ambaye inadaiwa ameua zaidi ya watu 300 katika miongo kadhaa iliyopita. Kumekuwa na majaribio kadhaa ya kumuua au kumkamata bila mafanikio. Gustave ni mamba wa kiume yupo...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Machi hadi juni 1973 kwa nyakati tofauti Burundi ilituma ndege za kijeshi kuivamia Kigoma. Nyerere atumia busara kubwa

    Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma. Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi. South Africa na Msumbiji zilikuwa bado chini ya serikali za kikoloni huku Rais wa Kenya Jomo Kenyatta akimuonya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

    C&P Kwako Mkuu wa mkoa wa Kigoma. Salaam. Sisi ni wahudumu wa Afya ngazi ya jamii ( CHW's) kutoka tarafa za Buhingu na Ilagala wilaya ya Uvinza mkoani kigoma. Idadi yetu ni 80( themanini). Mwezi Juni mwaka huu, ofisi ya Mganga mkuu wa mkoa wa Kigoma (RMO) kupitia kwa Mganga mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi ya Maendeleo Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kuunufaisha na kuufungua kiuchumi Mkoa wa Kigoma ndani...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi kabla ya Mwaka 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi kwa waliopo kigoma

    Habari za mida wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
  7. JamiiForums Tanzania Nembo Mpya ya Kigoma Region Tanzania | Jumuiya ya watu wa Kigoma

    Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024 LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma. Imeundwa Kwa Gharama ya Tsh 110'000 + 30'000 za usajili. Nembo imeshakabishiwa BRELA kwa ajili ya usajili. NEMBO...
  8. JamiiForums Tanzania Treni ya Abiria ya TRC yaanguka Kigoma, Watu kadhaa wajeruhiwa

    Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na behewa moja la breki imepata ajali kati ya Stesheni ya Kazuramimba na Uvinza mkoani Kigoma majira ya Saa 7.30 usiku...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Wananchi Kigogwe waandamana, wasema wanataka daraja na siyo kibembea

    Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu. Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
  10. JamiiForums Tanzania Kigoma: Waziri Mchengerwa aagiza uchunguzi ujenzi wa Shule iliyotengewa Tsh. Bilioni 4.1

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameagiza kufuatiliwa, kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua kwa watendaji wote walioshiriki kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayosimamiwa na ofisi yake na kusababisha ishindwe...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

    Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
  12. JamiiForums Tanzania Wana kigoma wamenambia Kama sina hela wala connection nimiliki uchawi nipate heshima

    Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma gwijii, akikwambia leo jioni haifiki ujue umeenda hivyo wala hakuna mjadala, lakini alikua hakupi...
  13. JamiiForums Tanzania Kigoma Clinical Officer COTCK tupeane muongozo wa taasisi

    Wanachuo tunaojiunga kwa mwaja wa masomo 2024/2025 tujuane tupeane location n kuchangia mawazo zaidi. Na kwa walio pitia chuo icho pia tupeane msaada🙏🏼🙏🏼
  14. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Kigoma Kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa kwa Njia Sita za Umeme

    MBUNGE ASSA MAKANIKA ATOA MSISITIZO KWA MABALOZI KUHAKIKISHA WATU WANAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika akiwa katika ziara yake ya kuzungumza na Mabalozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo lengo ikiwa ni kuhamasisha...
  16. JamiiForums Tanzania Kinana akagua mradi ujenzi wa Gati la Bandari ya Ujiji Mkoani Kigoma, Septemba 1, 2022

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa gati la Bandari ya Ujiji ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 38.5. Kinana amefanya ziara ya kutembelea bandari hiyo leo Septemba 1,2022 baada ya kuwasili mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mpasuko Barabara ya BUSUNZU - KIGOMA sio makosa ya Mkandarasi, hakuna upigaji, ni sababu za Kigeolojia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na makosa ya Mkandarasi kwenye ujenzi bali umesababishwa na sababu za kigeolojia. Amebainisha kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Tamko Mpasuko Barabara ya Busunzu - Kigoma, Sio Upigaji.

    BASHUNGWA ATOA TAMKO MPASUKO WA BARABARA BUSUNZU - KIGOMA, SIO UPIGAJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na makosa ya Mkandarasi...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango akagua ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kigoma unaoendelea kutekelezwa Mkoani Kigoma. Dkt. Mpango amekagua uwanja huo, leo Julai 09, 2024 katika Manispaa ya Kigoma...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma Utakuwa Mwanzo wa Reli Katika Sekta ya Miundombinu

    MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…