kigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Kigezo cha UNESCO World Heritage hakitoshi kuwaondoa Wamaasai Ngorongoro

    Kwa miaka ya karibuni, mjadala kuhusu hatma ya jamii ya Wamaasai ndani ya Ngorongoro Conservation Area umeendelea kuchukua sura mpya. Kauli ya Samia Suluhu Hassan kwamba Ngorongoro ni moja ya maeneo machache sana duniani yaliyo ya kipekee ndani ya UNESCO World Heritage Sites imezua mjadala...
  2. K

    KERO Tuliochangia Mfuko wa PPF, hiki KIGEZO kinatupa umasikini

    Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF. Sasa endapo, umekosa Ajira na kupata malipo ya 33.3% ya mshahara wako wa Mwisho wa Six month (Lump sum) na...
  3. Mr Beach Boy

    Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  4. Chizi Maarifa

    Kigezo kikubwa kuwa Mwana CCM mzuri ni kwanza lazima ukubali kuliwa

    Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
  5. raizen 50

    Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  6. Fbn

    Wanaume tutafute pesa,Sura yako sio kigezo kwa mwanamke

    Hoya jamaa kama angekuwa maskini sijui ingekuwaje. Julius Malema with his wife at Victoria Falls .
  7. Kazanazo

    Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

    Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu...
  8. Hance Mtanashati

    Leo vitu vimepanda bei balaa. Wanatumia kigezo cha maandamano kuumizana

    Leo sehemu nyingi vitu vimepanda bei balaa. Kilo moja ya nyama elfu 17 Nyanya moja 500 Chips yai elfu 5 Soda elfu 1 Nk nk Kwa mwendo huu ni ngumu watu kufikia lengo Hapo hakukuwa na maandamano hali ipo hivyo je maandamano yakiwepo angalau wiki 1 si itakuwa balaa zaidi Tamaa za...
  9. Damaso

    Siasa na Imani: Hatari ya Kutumia Dini Kama Kigezo cha Kampeni

    Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
  10. H

    Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  11. peno hasegawa

    Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  12. sanalii

    Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  13. J

    Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  14. R

    Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
  15. Alloyce PR

    Chaguzi Ndogo kama Kigezo cha Mwelekeo wa Uchaguzi Mkuu

    “Matokeo ya chaguzi ndogo mara nyingi hutoa taswira ya mwelekeo wa uchaguzi mkuu. Ikiwa chama ‘R’ kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 80 katika chaguzi ndogo, kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kwa hadi asilimia 90+ katika uchaguzi mkuu. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama...
  16. S

    Kigezo cha kustaafu kiwe ni ugonjwa ama kifo, na siyo umri kama ilivyo sasa. Case study ni Steven Wasira.

    Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60? Samia ana miaka 63. Wasira ana miaka 81. Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania. Kwann watumishi wa chini huku...
  17. Prof_Adventure_guide

    Wabunge Wetu: Wabaki Kupongeza Ufisadi Badala ya Kuutokomeza? Ni Wakati wa Kutumia Elimu Kama Kigezo Cha Uongozi!

    Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
  18. Roving Journalist

    Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  19. Kichaka12

    Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo. 1. Uelewa mdogo wa mfumo Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
  20. S

    Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

    Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale? Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
Back
Top Bottom