kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DRC wadai hukumu ya kifo kwa Kabila hakuleta amani bali mvutano utaendelea

    Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali ya mvutano. Bukavu ilivamiwa na waasi wa M23 tangu Februari 2025. Mahakama ya Kijeshi nchini DRC...
  2. curie

    JamiiForums Tanzania Kifo cha SGR hakiko mbali

    Mimi sio mtabili ila kwa yanayoendelea Tanganyika kwenye miradi kama Brt , Airtz ,n.k na kiona kifo cha Mradi huu muda si mrefu . Muda ni jaji
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

    Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu. Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanachunguza chanzo Cha kifo Cha wakili

    Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa papo hapo na watu wasiojulikana waliokuwa kwenye pikipiki huku akiwa kwenye gari lake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  7. hamis77

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa...
  8. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Nilinusurika Kifo – Hadithi Yangu ya Kuogelea

    Nimeona ni share hii Hadith yangu fupi ya utotoni. Nilipo kuwa mdogo, miaka karibu 4–5, nilienda na watoto wenzangu kuogelea mtoni. Tulivua nguo kama kawaida. Mimi, kwa udogo wangu, sikuwahi kuogelea, hivyo nilichezea pembezoni mwa maji machache. Wenzangu waliniita: “Njoo hapa, sio kirefu!”...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote 2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
  11. Griss

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Hii sio bahati mbaya hata kidogo Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli. Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa. Hii sio afya kwa usalama wa nchi Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Mstari wa Uhai na kifo unaponaswa kwenye camera

    Siku moja Mwaka 1975 mpigapicha na mwandishi wa habari bwana Stanley Forman alinasa tukio ambalo limebaki katika kumbukumbu ya moja ya matukio mabaya zaidi kuwahi kurekodiwa tangu teknolojia ya uvumbuzi wa camera duniani. Tukio hili alilolinasa bwana Stanley lilikuwa likimuonesha...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya CCM kutaka kuua upinza wa vyama vingi ndiyo itakuwa kifo chake

    Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee kuwapo kama mpinzani wake. Kwa nguvu tunayoamini anayo Mungu alikuwa na uwezo wa kumaliza shetani...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Malaika wa Kifo: Hadithi ya Kutisha ya Muuguzi Genene Jones

    Katika wodi ya watoto wachanga kwenye hospitali ya Texas, muuguzi mmoja alionekana mwenye tabasamu pana, uchangamfu kubwa, huruma na kujali isivyo kawaida. Alikuwa karibu na kila mtoto aliyelia, alihakikisha kila kitu kipo sawa, na mara nyingi alionekana kumfariji mzazi kwa tabasamu la matumaini...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka! Nuksi yake bado ipo

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe kifo cha kipepeo mkuu kilikuwa njama ya kumchafua "Daftari kuu" ili ubingwa wa SISEMI uonekane umepangwa

    Taarifa za uongo zilizosambazwa mtandaoni hivi karibuni kuhusu kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Vipepeo zimeibua gumzo kubwa baada ya Mstaafu wa Kyuba kutoa neno jana. Kilichoshangaza wengi ni namna jina la Mkuu wa Daftari, "Bw. Kajimu," lilivyoandikwa mara moja kama mrithi wa bustani ya vipepeo...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  20. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maisha ya watoto wa familia ya Benito Mussolini baada ya kifo cha baba yao 1945?

    Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake? Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye mashaka na huzuni tele. Ingawa wao wenyewe hawakuwa wahalifu kama baba yao, walijikuta wakibeba mzigo...
Back
Top Bottom