kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Benyamin Netanyahu Kafa? Kama siyo mbona wanajieleza Sana

    Nawasalimu Kwajina la JF! Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi, Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa...
  2. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  5. M

    JamiiForums Tanzania Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  6. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

    Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni. DVT...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Jesse Jackson, Trump atengwa

    Mchungaji Jesse Jackson amefariki,, Amezikwa jimboni kwake Chicago..Jesse Jackson ni mtu maarufu….ni mpigania haki za binadamu na ubaguzi kwa watu ambao ni less privileged na sio watu weusi tu. Alikuwa rafiki wa karibu wa Martini Luther King Jr. Kwenye mazishi yake walikuwepo watu maarufu toka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Iraq imetangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah

    Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA). “Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wa Iran wakisherehekea kifo cha Khamenei

    Hapa ni Tehran, Iran . . Hapa ni London Kaskazini
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuingia barabarani kusheherekea ukombozi baada ya kifo cha Ayatollah

    Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa. End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kutorukia habari ya kifo cha jambazi Banjoo

    Safari hii hawa nyumbu wamejuzuia sana kutorukia hii agenda. Pamoja na wanaharakati shetani Mange na bibi Maria kuivalia njuga habari ya kifo cha jambazi Banjoo ila wanaCHADEMA wengi hawajaunga mkono harakati zao. Sijajua kama ni ukomavu wa kiakili au labda kwa sababu Jambazi Banjoo hakuwa mtu...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

    Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana.. Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa. Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa. Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mohammed Kisingwe na Sintofahamu ya DCEA

    Kifo cha Mohamed Mohamed Kisingwe kimeibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu uhusiano kati ya vyombo vya dola na usalama wa raia. Tukio hilo, linalohusishwa na operesheni ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), limeacha maswali mengi yasiyo na majibu na hisia...
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao. Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki dunia chumbani Moshi

    Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano. Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
  20. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Buriani mzee wetu Edwin Mtei: Chadema wajue kuwa kifo hakina mwenyewe

    Ndugu Godbless Lema kwa muda sasa amekuwa ni "specialist"wa kuwatabiria vifo viongozi wa Serikali na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi. Kibaya zaidi Vifo vikitokea Machema wanajifungia sehemu na "kuchoma" nyama. Wakati wa Kifo cha Hayati John Pombe Magufuli walifanya hivyo, wakati wa kifo cha...
Back
Top Bottom