Naomba kujua kituo cha kufundisha Kifaransa

kalikumutima

Senior Member
Oct 9, 2014
147
46
Naomba kujuzwa kituo kizuri kinachofundisha lugha ya Kifaransa hasa mida ya jioni.

Nitafurahi nikijuza na gharama zake kwa kila hatua.

Asanteni
 
Nenda pale Kurasini, jitegemee high school kuna Chuo kimoja cha ubalozi (centre for foreign relations) gharama huwa hazitabiliki kwa kila level, au nenda pale msasani kweny kona ya kuinglia coco beach pale pana wachoraji utaona kibao kinaelekeza ukifuate gharama sijui. Note: pale centre for foreign relations wanafundisha lugha 5, ushindwe ada tu mkuu.
 
Naomba kujuzwa kituo kizuri kinachofundisha lugha ya kifaransa hasa mida ya jioni.
Nitafurahi nikijuza na gharama zake kwa kila hatua.Asanteni
Nenda kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Ufaransa kinaitwa Alliance Francee, kiko Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Upanga next to California Dreamer Night Club. Ukitokea Town shukia Agha Khan, ukitokea Mwenge shukia kituo cha Redcross.

P.
 
Nenda kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Ufaransa kinaitwa Alliance Francee, kiko Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Upanga next to California Dreamer Night Club. Ukitokea Town shukia Agha Khan, ukitokea Mwenge shukia kituo cha Redcross.

P.
Hawa wanafundisha na kiingereza mkuu?
 
Nenda pale kurasini, jitegemee high school kuna Chuo kimoja cha ubalozi (centre for foreign relations) gharama huwa hazitabiliki kwa kila level, au nenda pale msasani kweny kona ya kuinglia coco beach pale pana wachoraji utaona kibao kinaelekeza ukifuate gharama cjui. Note: pale centre for foreign relations wanafundisha lugha 5, ushindwe ada tu mkuu
Mkuu hizo Lugha 5 Kiingereza Kipo?
 
+255 711242832

Ni mwalimu mzuri sana wa lugha ya kifaransa, yupo Dar-es-salaam, kwa taasisi au mtu binafsi anayetafuta mwalim wa lugha ya kifaransa mumcheki huyo jamaa
 
Back
Top Bottom