Habari zenu mabibi na mabwana!!
Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia?
Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila...
Hii kifaa inaitwa VR BOX,
Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Ajali...
Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English.
Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa Vanvera.
Vanvera ilikuwa kama pedi au kisahani kidogo kilichotengenezwa kwa vifaa vilivyoweza...
Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch.
🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi:
✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira.
✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka...
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta.
Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40.
Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana.
Mawasiliano: 0719789087
Je, unatumia kifaa cha Android?
Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu?
Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.