kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Tuangalie mambo ya afya kidogo

    Hivi ndivyo wasemavyo wataalamu 👇
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu njooni tutetee kidogo mie nataka ndoa sio kuwa baby mama

    Nauliza swali tu wanaume . Nani anawaambia kuwa mimi ni wakuzalishwa bila ndoa naninataka kupunguziwa haja na mtu ?? Jueni hili miaka yenu yote mie nilionwa sifai nanyie nikazoeaa . Halafu kila anayeniona naunene wangu mnaniita single mother , eti mshangazi hamuezi kudate na mzee . Sasa huu...
  3. Archnemesis 2-0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana. Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Tubadilishane uzoefu kidogo

    Nini mazuri au madhaifu ya wanaume wafupi? Wenye uzoefu na short kings njooni mtujuze. CC: nakwede97 ⋆ Aaliyyah Leejay49 ⋆ Ms Billionaire Sister Abigail ⋆ Bantu Lady realMamy ⋆ Qashy Lilith Atoto ⋆ Niwaheri Lamomy ⋆ To yeye Msweet ⋆ Chujio Demi ⋆ ledada Midekoo ⋆ Carleen ABJ magwamaka...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

    Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo. Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda. Hiyo ni...
  6. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

    Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa. Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu. 'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Maajabu! Aliyekopa kidogo kwa miaka 6 maendeleo yanaonekana, Ila aliyekopa Trilion 35 kwa miaka minne hakuna project ya maana inayoonekana!

    Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CCM inatosha sasa. Mtuache tupumue kidogo

    Kila kukicha CCM huko na huko mara wafanye maandamano ya kumpongeza mtu, mara hivi, mara vile. Yatosha. Huyo mama kama amefanya mazuri msiwe na shaka kazi zake zitatoa hukumu kipindi cha kampeni na siku ya kupiga kura hiyo October 2025. Chama kiweze kununua Yutong za mabilioni kitashindwa...
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Banana Zorro - Bado Kidogo

    https://youtu.be/xZIpD10kjbs?si=az9o6w-wjTynf73m
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Tuchemshe bongo kidogo

  12. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Wafungulieni wajumbe wapate hewa hata kidogo jamani!

    Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika. Pia wanahoji kwanini...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Biden alimwambia Obama Kidogo ajiuzulu

    Utawala bora Uuzwaji Bandari ya Washington DC Utekwaji wa wamarekani Uchumi ku fubaa Biden alikuwa sahihi kwamba muhula Mwingine hagombei Kama mwenza
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  16. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya masomo magumu na mazito,sasa tupate burudani kidogo

    Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20 na yule fundi alivyomuona alitamani walau aonje yaliyomo kwahiyo baada ya kumaliza kazi alianza...
  17. Planett

    JamiiForums Tanzania Tasnia ya habari jaribuni kua serious kidogo

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze kukabiliana nayo. Back to the topic. Leo katika kuperuzi mtandao wa Youtube nimekutana...
  18. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

    Ilikuwa tar 28/11/2024 nilikuwa nimeamka vizuri kabisaa Baada ya kunywa chai nikaelea kazini kwangu nikiwa njiani nikapokea simu kutoka kwa wateja wangu wa muda mrefu wa soya beans kutoka Dar Nilisalimiana nao kisha wakanipa oda ya tani 112 za soya beans Baada ya kufika ofisini Nikaanza...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini...
  20. Melancholic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kidogo

    Wakuu habari za jumapili, Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo. nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni bahili sana au vp??? Coz mara zote huwa simpi mwanamke wangu hela bila kuniomba so. Naomba mnisaidie...
Back
Top Bottom