kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Amka kijana usibweteke

    Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Private Candidate

    Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi. Swali linajengwa na hoja hii: Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

    Habari wanajukwaa; Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha kusomea baada ya Necta kutangaza matokeo yao. Pili na mwisho katika utambulisho,hongereni sana vijana...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

    Habari! Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi...
  5. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita na ualimu 2021 haya hapa

    Fuata hiyo Link ya Serikali: https://matokeo.necta.go.tz/
  6. JamiiForums Tanzania Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  8. JamiiForums Tanzania DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

    Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka. Kwa mujibu wa gazeti...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  10. JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  13. JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kwenda kidato cha tano 2021 hawa hapa

    Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021 imeongezeka kwa asilimia 14. Ongezeko hilo linakuja baada ya jumla ya watahiniwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

    Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo. Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
  16. X

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2021 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  17. JamiiForums Tanzania Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

    Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne? Nielimisheni tafadhali.
  19. JamiiForums Tanzania Kidato cha sita kuanza mitihani ya taifa kesho

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya taifa ya kidato cha sita na ya ualimu inayotarajiwa kuanza kesho Mei 3, 2021. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema jumla ya watahiniwa 90,025 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ambapo kati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…