Habari wanajamvi,
Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...