kibiti

The Kibiti lampeye (Lacustricola lacustris) is a species of fish in the family Poeciliidae. It is endemic to Tanzania. Its natural habitats are rivers and intermittent rivers.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    MP (Kibiti) Twaha Mpembenwe: The Unsung Hero (Samia Suluhu Hassan)

    MP (Kibiti) Twaha Mpembenwe: The Unsung Hero (Samia Suluhu Hassan) I am humbly writing you to heartily congratulate and appreciate on the resounding sustainable administrative revolution accomplishment. Since the time you assumed office in March 2021, your administration branded its actions...
  2. FRANCIS DA DON

    Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi.. ===== Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
  3. A

    Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

    1. Nipo Kisiju, idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? 2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi, KUSWALI/KuSALI na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana na watu hawapendi kazi ni mwendo wa swala na...
  4. GENTAMYCINE

    Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

    Mwamba aliyeondoka aliwapa Kazi ya Kusaficha Wazee wa Morogoro na hao Wapumbavu na Wahuni walidhibitiwa vilivyo na Wengine hadi Kukimbilia nchi Jirani. Cha Kushangaza aliyeko sasa anatanguliza Huruma na Imani yake ya Kidini kwa Kuogopa kuruhusu tena Wazee wa Morogoro warejee ili Safari hii siyo...
  5. Mwachiluwi

    Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

    He'll Katika kutimiza majukumu ya kazi leo nilikuwa Kibiti sehemu moja inaitwa mkamba nimetoka mjini saa nne nimefika saa nane mda ukawa umeenda sana na ilikuwa lazima kumaliza kazi leo sikutaka kulala uko Nikawa nimemaliza kazi saa kumi na moja nikawa nauliza wenyeji usafiri wakaniambia boda...
  6. Suley2019

    Sirro: Sitosahau Askari walipopigwa risasi Kibiti

    IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na Majambazi baada ya kushambulia kwa risasi gari la Polisi katika Kijiji cha Uchembe, Kata ya Mjawa...
  7. Jamii Opportunities

    Records Management Assistant at Kibiti District Council

    Position: Records Management Assistant II Government Job Opportunities Kibiti District Council 2022, Ajira Mpya Kibiti 2022, Nafasi Za Kazi Serikalini 2022 Kibiti District is a new district in the Coast Region established in 2015 with postcode number 61800. Its areas were set aside by Rufiji...
  8. Mzalendo_Mwandamizi

    Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

  9. R

    Anaejua shule ya msingi Bumba iko wilaya ya Kibiti

    Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu amepangwa kufundisha hapo. Shukran sana.
  10. Poppy Hatonn

    Malenga wa Kibiti asema," Tangu paka kaondoka, panya nyumba watawala"

    Paka kiwepo pahala,panya hawana pirika, Pale kakamata dola, panya wanadhoofika. Mashimoni wanalala, kero tunapumzika. Tangu paka kuondoka,panya nyumba watawala. Paka walikuwa jela,kifungo walifungika, Wakawa si wa kitala,midomo walifungika. Kuondoka wa kuwala,jikoni ni patashika, Tangu paka...
  11. Troll JF

    IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

    Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa Rais Magufuli leo amesikiliza kero za Wananchi katika Wilaya hiyo akiwa njiani kutoka Mtwara ambapo...
  12. Replica

    Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

    Rais Magufuli leo akiwa njiani kutoka msibani, amesimama mara kadhaa kuwasalimu wananchi na kuwasikiliza. Ameshangazwa na watu walio chini yake kushindwa kujenga choo cha soko ilihali mapato ya halmashauri yao ni zaidi ya bilioni 1.8 Rais Magufuli ametoa agizo la choo husika kukamilika ndani ya...
  13. mwanamwana

    Kibiti: Rais Magufuli aamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance

    Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza...
  14. Kaka Pekee

    Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

    Nimeinasa kwenye Mitandao ya Kijamii ya usembassytz kuhusu Kaimu balozi wa Marekani kwenda Kumtembelea na kumtakia heri ya Sikukuu Mke wa Muandishi wa Habari za Uchunguzi Azory Gwanda ambaye Alitoweka miaka kadhaa hadi sasa kwa kuchukuliwa nyumbani kwake usiku na Watu wasiojulikana (Siwezi...
Back
Top Bottom