kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  2. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

    Uongozi wa mgahawa maarufu huko Darban Afrika kusini WISH pale ambako AKA alipigwa risasi,Baada ya kupata chakula chake Cha mwisho,last supper. Unatangaza kuufunga mgahawa wa WISH kuanzia tareh 10/4/ Wanatarajia kuwaalika watu mbalimbali kula chakula Cha mwisho unaoitwa last supper kwa ajiri...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mashirika ya kibiashara ya Umma

    Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo. Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
  4. Egibert emily

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

    Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi. Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria). Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama. Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

    Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake. Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
  6. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Njia za kushinda soko la ushindani kibiashara

    Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na: 1) Brand name hii...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia sekta binafsi

    07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo kibiashara zaidi na siyo kuwapigania maskini na wanyoge. Kauli yake imewaudhi wapigania haki

    Huwezi kutoa kauli kama hii kisa tu ulitia pesa zako kujenga chama. Unatamka hadharani kuwa ulishaumia sana. Ina maana sasa unafanya michongo ya kurudisha pesa zako? N.b Ndio maana makamanda wapo kimya hata kama bil 10z ilipigwa maana wanajua mkuu wetu anapiga na faida.
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zatatua kero 23 na mahusiano ya kibiashara

    Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia viberiti vifaranga vya kuku. Kuongoza nchi kwa misingi ya chuki utazidi kuwafanya watu wako wawe...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  12. babu M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

    “Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.” -Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tambua akili ya kihuni ya kibiashara kwenye nauli tarajiwa za SGR

    Mafisadi na Walevi wa utajiri wana akili sana sana. Akili ya kawaida ni kwamba Dhamira kuu ya SGR ilikuwa kupunguza kero za Usafiri wa barabara katika kukuza uchumi na maendeleo. Hivyo ilifaa SGR iwe mbadala wa Usafiri wa barabara Kwa abiria na mizigo kama namna ya kuongeza kasi ya ukuaji wa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja na utengenezaji wa mazingira ya kibiashara Ofisi za Serikali

    Salaam ndugu zangu, Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma. Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msitudanganye 'Boss' Tshisekedi kaja kuomba Msaada wa 'Kijeshi' kupambana na 'M23' na siyo Kibiashara

    Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba...
  17. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Kibiashara na Ufadhili wa Miradi ya Kijamii (Corporate Giving)

    Kwa muda mrefu sasa, kampuni za kibiashara zimekuwa zikichangia katika miradi ya kijamii. Uchangiaji huu umechagizwa kwa kiasi kikubwa na hoja ya kwamba "Jamii yenye afya na ustawi mzuri (healthier community), huchochea ukuaji wa biashara". Mwaka 1936 nchini Marekani kiasi cha Shilingi Biliono...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Tasnia ya Filamu Tanzania inakosa "Master mind" wa kuitazama Bongo muvi kibiashara

    Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko. Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni jambo moja na biashara ni jambo lingine. Ili kipaji kiwe biashara lazima kuwe na Mfanya biashara. Uwezo...
  20. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mawazo ya kibiashara, tambua na tekeleza

    Wazo la kibiashara ni nini? Mawazo ya kibiashara ni mawazo aliyo nayo mfanyabiashara au mtu yoyote kunilngana na mtazamo wake juu ya biashara na biashara anayotaka kuifanya. Mawazo ya kibiashara ni mawazo alio nayo mtu kuhusu ni aina gani ya biashara anataka kuifanya wapi na ni kwa nini. Wazo...
Back
Top Bottom