kibaya

Kibaya is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. haszu

    Kizuri kinajiuza, kibaya chajitembeza, kisicho na haya chalazimisha

    Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa. Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani. As Human beings, we have a free will, we observe, we think and we draw a conclusion. Forcing someone to draw the same conclusion as "yours", is the same as trying...
  2. R

    Jamani mbona JF hakuna kibaya kinachoandikwa?

    Ni maoni ya kawaida..... Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  4. P

    Wakuu niko Kibaya Kiteto nipeni muongozo

    Inawahusu wazee wa totoz na gambe. Nipo njiani nasogea kibaya nipeni bar nzuri guest za Bei chee.
  5. Stability

    Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  6. Surya

    Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

    Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa. Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania. Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani. Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
  7. Komeo Lachuma

    Al Jazeera: Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran. Asema ni kweli walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Wanajipanga upya

    Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
  8. K

    Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

    Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi. Pia Mhe. Mpina...
  9. upupu255

    PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  10. Fbn

    Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  11. S

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  12. K

    Kumbe tumbo ni kitu kibaya sana

    Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama...
  13. T

    Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  14. Mmawia

    Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani. Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu. Wana CHADEMA...
  15. Yoda

    Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  16. Nyafwili

    Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  17. ELI COHEN

    "Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

  18. Surya

    Kizuri na kibaya, Heshima na mitazamo katika jamii

    Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi. Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na kwamba nilikuwa kijana mkubwa home, lakini sikuwa na access ya kuendesha pikipiki ya mshua...
  19. kichongeochuma

    Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  20. BabaMorgan

    Kipi cha kufanya unapohisi Kuna kitu kibaya kinaenda kukutokea?

    Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini? 1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia...
Back
Top Bottom