Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: "Chakula kiko tayari?"
Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika.
Kumsoma Mwanachama bofya hapa ~ Wafanyabiashara Kibaha tunaishi kama digidigi...
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali
Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke...
MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Afanya Ziara Kata ya Kibaya na Lengatei
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amefanya ziara katika Kata ya Kibaya na Lengatei na kukutana na Makundi mbalimbali ikiwemo Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa MaishaPlus...
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.
Hakuna papatu papatu. Mpira...
Kazi unafanya lakini hutoboi
Kusoma umesoma lakini huajiriwi
Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless.
Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi.
Wachawi watu wabaya sana.
Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio.
Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele.
Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani.
Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo.
Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980.
Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani.
Habib...
1. Wakati flani nikifanya shughuli za kisheria ktk taasisi flani niliwai kukutana na mzee mmoja ambae kwa wakati huo alikua ana lala stendi ya mabus ubungo terminal, baada ya kutolewa kwenye nyumba yake kinguvu na watu wa bank kisa alishindwa kurejesha marejesho yake kwa wakati ambapo mpaka...
Siku zote nimekuwa naamini kuwa mfumuko wa bei ni kitu kibaya hadi juzi kati nilipoona kinyume chake kwenye kitabu kimoja. Kabrasha hilo linasema kuwa mfumuko wa bei hadi wa 20 percent unasaidia kukuza uchumi.
Huu unasaidia kutengeneza ajira na kuchangamsha shughuli za kiuchumi. Linaendelea...
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI ndugu rafiki kaka dada na jamaa zangu
Ni Ukweli usiopingika nchi yetu inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii wengi mtajiuliza Kwanini wengine mtakubaliana na Mimi na wengine mtapinga either kwa hoja matusi kejeri au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.