kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

    Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika. Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  3. G

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kibaha kulikoni?

    Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...
  4. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

    Ila hawa jamaa hawa dah
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  6. Beah

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania TANESCO wilaya ya Kibaha ni wababaishaji sana

    Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha. Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ku-deliver bidhaa Kibaha

    Nafikiria kuanzisha local delivery company ya bidhaa za nyumbani, kwa kutumia baiskel za umeme especially eneo la Kibaha. Nakaribisha mwenye mawazo kama haya awekeze knowledge na muda namna gani inaweza kufanyika kwa ufanisi.
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  10. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Barabara ya njia nane- Dar - Kibaha yakwama. Serikali yakanusha

    Barabara iliyokuwa inajengwa kwa kasi ya njia nane kutoka Dar hadi Kibaha imekwama kumalizika ujenzi wake kutokana na ukosefu wa fedha,Tanroads wamebainisha. Waziri wa ujenzi prof Mbarawa alipotafutwa kutolea ufafanuzi madai hayo, simu yake iliita bila kupokelewa. My take. Chadema meno yote...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mtu sharp nimtume kwa siku ya kesho Kibaha stand na Mbagala posho elfu 15

    Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni! UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kibaha mlandizi imekua ndogo magari mengi, usafiri umekua tabu sana kwa sasa

    Kuna hitaji ujenzi wa dharura wa barabara ya zamani ya kibaha mlandizi then mpango wa barabara nne ulioishia kibaha mailimoja ufike japo mlandizi, kwa sasa ikifika jioni ni shida, kwa mfano leo gari moja tu lime break down basi tangu saa kumi hadi saa nne hii ni foleni, TANROADS naomba mulione...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Jogging ya BAWACHA yapigwa stop na Polisi

    Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano 😂 Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
  14. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Kibaha kwa bei nafuu ya ofa

    Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana. -Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana. -Neighbourhood yake...
  15. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Aliyeweka tuta kituo cha Maji njia ya Kimara-Ubungo na zile zebra nyingi kibaha high way alifikiria nini?

    Sometimes huwa nafikiria sana wabongo huwa tunawaza nini. Mfano 1. Tumeweka Ubungo flyover ili tuweze kupunguza msongamano wa magari kwenye taa za Ubungo...proposal imeandikwa vizuri kabisa Ela zikatafutwa na ikajengwa. Flyover imeanza kutumika ameibuka sijui Kanjanja gani ameenda weka matuta...
  16. Leak

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo kila kona, Serikali imesitisha mradi wa Barabara ya Kimara-Kibaha?

    Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Afungwa miaka 30 jela kwa kukutwa na bangi

    AFUNGWA MIAKA 30 JELA KWA KUKUTWA NA BANGI - Ukiiba mabillion ya serikali utafungwa miezi miwili MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Pwani (Kibaha) imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Ridhiki Omary Marimbwa kwa kosa la kusafirisha kilo 21.86 za dawa za kulevya aina ya bangi. Hukumu hiyo ilitolewa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  19. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ni lini Kibaha ilitangazwa kuwa mji?

    Sijui niseme labda sina kumbukumbu au ni mimi tuu sielewi maana nimeenda ofisi moja kuchukua barua nimekuta juu kumeandika ofisi ya mkuu wa ......... "mji wa kibaha" sasa kidogo nimeshangaa naombeni mnitoe tongotongo wakuu.
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

    Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake. Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info. Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi? Marital status yake? Je, ni mlipukaji?
Back
Top Bottom