kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

    Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na n ahata kama taka zote zilizosambaa chini zingewekwa kwenye pipa hilo bado zisingetosha. Nasema...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
  4. Jugado

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kibaha maili moja

    Kisiwe mbali na lami, yaani isizidi 3km. Ukubwa usipungue 30×35 au around hapo. Kiwe tambarare. Pesa ipo kwenye mfuko wa shati. (Kama bei itakuwa reasonable).
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  8. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kibaha msangani juhudi. Kipo karibia na stend ya bajaji Km 5 KUtoka morogoro road Ukubwa mita 20 kwa 20 Milioni tatu na nusu. Barabara nzuri ya lami. Umeme na maji vimefika.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi wa Kibaha College of Health and Allied Sciences

    .
  11. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  13. maroon7

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

    Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

    Nauza Heka 3 zipo Kibaha Zina hati zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana
  15. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi shule ya Sunshine Secondary kibaha wanapokea watoto wa kidato cha nne?

    I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne? Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
  18. JimmyKB

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Upigaji mradi wa maji Miwale Pangani Kibaha mkoa wa Pwani

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
  19. Ndetanyau

    JamiiForums Tanzania KERO Fedha za kujikimu kwa watumishi wapya Kibaha Halmashauri ya Kibaha

    Licha ya Waziri kuagiza fedha za kujikimu zilipwe kwa watumishi wapya kada ya ualimu na afya ya mwezi June 2023, bado hali ni tofauti kwa sisi watumishi wapya wa Kibaha DC. Nauliza, Je ni kupuuzia agizo la Waziri au wanataka wazile hizo fedha na familia zao maana kiufupi wanatuweka kwenye...
  20. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba Inauzwa Kibaha Muheza

    Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo ) 3 kilometers kutoka Mailoja. Eneo 18*25 Vyumba vitatu vya kulala 1 master bedroom Sebule na dinning room Public toilet Jiko na stoo yake Fremu ya duka mbele Piga : 0678650509
Back
Top Bottom