kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

    #UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa. === HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Madaktari na Mahakama wanavyoshughulikia kesi za kubaka watoto ni wazi Tanzania ni 'banana republic'. Inasikitisha, inatia hasira na aibu

    Hebu fikiria. Mtoto wako wa miaka sita anatoka shule. Akiwa njiani mjinga fulani mwenye akili mbaya kuliko mnyama anamkamata na kumvutia porini, kisha anambaka na kumuumiza sana. Mtoto huyu wa miaka sita analia kwa maumivu, lakini mbakazi anamziba mdomo na kumtishia kumuua ikiwa ataendelea...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini anayekabiliwa na kesi ya mauaji aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana. Hata hivyo mke...
  4. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Sheria ibadilishwe hukumu ya kesi ya mauaji iwe miaka 15 jela. Kila Mtanzania amiliki bunduki kirahisi

    Habari wadau, Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake...
  5. JamiiForums Tanzania Donald Trump awasilisha kesi dhidi ya Facebook, Twitter na Google

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa Januari mwaka huu, Akaunti za Trump katika Mitandao ya Kijamii zilizuiwa kufuatia hofu ya Usalama wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi tunaweza kufungua kesi ya madai kwa Wazungu kutokana na nyara walizochukua Afrika?

    Wakati wa Ukoloni Wazungu waliwinda wanyama na wakisafurisha nyara bila ridhaa yetu. Pichani ni urembo wa vichwa vya wanyama na ngozi, haya yalikua ni mapambo ya kawaida kwa Wazungu matajiri. Wanasheria wanaweza kufungua kesi ya madai?
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara Salehe Salim Alamri na wenzake yapigwa kalenda

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesi ya mauaji ya Sharon Otieno dhidi ya Gavana Okoth Obado kusikilizwa wiki ijayo

    Kesi ya mauaji ya Sharon Otieno aliyekuwa mjamzito ambayo Gavana wa Migori Okoth Obado ni mshukiwa mkuu Mahakama ya Nairobi imeamua kuisikiliza wiki ijayo. Katika kusikiliza kesi hiyo Jaji Cecilia Githua aliamuru upande wa mashtaka kuleta mashahidi wawili. Kesi hii iliyopaswa isikilizwe...
  9. JamiiForums Tanzania Katiba ya Kenya: Kesi zinaendeshwa live, huku itatuchukua miaka 200 kufika

    Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika. Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Tanga, vipi kesi inapomaliza zaidi ya mwaka?

    Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo. Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua. Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi...
  11. JamiiForums Tanzania Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika. Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona aliwahi kidogo tu.. ------------------- BAADHI YA MICHANGO ILIYOTOLEWA NA WADAU
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  14. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

    "Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?" - Mch...
  15. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd kutolewa leo

    Hukumu ya kesi ya mauaji ya George Floyd inatarajiwa kutolea leo mchana jijini Minneapolis. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi tayari amepatikana na hatia ya mauaji ya George. Mwezi April 2020 Derek akiwa anamkamata George kwa tuhuma za wizi dukani alimwekea goti shingoni kwa zaidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama hazikuwa zikitenda haki kuhusu kesi za Uhujumu Uchumi

    Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza. Mwaka 2018 alikamatwa na baadhi ya...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watuhumiwa tunabambikiziwa kesi za dawa za kulevya

    Saidy Hemed Abubakar amefikishwa katika mahakama ya wilaya Jijini Tanga akikabiliwa na makosa mawili ya kusafrisha dawa za kulevya lakini akaishushia tuhuma nzito Tume ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwamba watendaji wake si waadilifu kwani wamekuwa wakiwabambikiza watu kesi za dawa...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa rushwa

    Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma. Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
  20. JamiiForums Tanzania DPP amewafutia kesi waliodaiwa kusafirisha wenye ulemavu, kuwatumikisha

    By Hadija Jumanne Summary Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…