Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.
Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi...