kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. ICJ yaiunga mkono Somalia katika mzozo na Kenya

    Uamuzi huo wa Jumanne unafungamanisha kisheria, inagwa mahakala hiyo ya Umoja wa Mataifa haina mamlaka ya utekelezaji. Jopo la majaji 15 likiongozwa na jaji wa Marekani Joan Donoghue lilitoa uamuzi huo katika Peace Palace iliyoko Hague. Kenya ilikuwa inataka, mpaka huo usalie jinsi ulivyo...
  2. T

    Kesi ya Kenya na Somalia huko ICJ; tuna lolote kujifunza kati yetu na Malawi?

    Kuna usemi unasema mwenzio akinyolewa zako tia maji. Kutokana na mwenendo wa kesi za kimataifa kuhusiana na mipaka inaonyesha mahakama na hata jumuiya ya kimataifa haina nguvu sana ya kulazimisha uamuzi wa mahakama. Nilichojifunza ni kwamba kwenye mivutano yetu ya mipaka kinachoweza kukusaidia...
  3. F

    Kenya for female President 2022

    The only and indeed only way out of election chaos in Kenya 2022 caused by the rigid and perpetual aspirants exclusive of Raila for his unique sanity and if left out of 2022 league nomination; is for Kenyans to vote to Statehouse a female president (but not Martha Karua) so that the male...
  4. Hawa ni maDj wa Kenya wanaokimbiza sana Tanzania kwa mix kali

    Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata. Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa. 1. Dj Prince 2. Dj Perez 3. Dj Shinsk 4. Dj Layta Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop...
  5. Kenya tops in China projects completion ahead of deadline

    Works during construction of phase 2 of the Standard gauge Railway in June 2018. PHOTO | FRANCIS NDERITU | NMG Kenya led the world in completing China-funded mega projects ahead of schedule under Beijing’s global infrastructure development strategy, findings of a new study by a top US research...
  6. Kuhusu Kesi ya ICJ. Hawa Somalia kama wanatafuta kichapo kutoka Kenya basi watakipata tu

    Kenya imechoka kubembeleza punda kwenye mteremko. Hawa Shabab wamekimbia kwenye mahakama ya kimataifa eti kujaribu kunyakua mipaka ya Kenya. Lakini Kenya imeshasema haitambui judgement itakayotolewa na mahakama ya ICJ. Kenya itaendelea kulinda mipaka yake kama kawaida.
  7. T

    Besije alienda kenya kupata ushauri wa kuendesha siasa za upinzani. Angetaka kujifunza kwetu angeambulia nini!?

    Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni...
  8. Kenya: Timu yenu imepigwa 5 huko

    Japo Tanzania tumepigwa 1 lakini tunajua mmekula 5. Poleni sana.
  9. Kampuni ya Kenya yatanua hadi Ivory Coast

    Mwendo wa kuendelea kutia Afrika yote kwapani na kukimbia nayo. Hapa Afrika Mashariki na Kati tulishamaliza mchezo, tumefika pia SADC sasa tunelekeza pua. Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, hili bara lina watu zaidi ya bilioni, yaani parefu sana. ====== Sendy Ltd, a Kenyan digital logistics...
  10. Kenya is the fourth African country with the wealthiest individuals after Nigeria, South Africa, and Egypt - Report

    The Swiss Investment Bank's Research Institute has released a new report that ranked Kenya as the 4th African country with the highest concentration of wealthy individuals after Nigeria, South Africa, and Egypt. According to the report, Credit Suisse's 12th edition of the Global Wealth Report...
  11. M

    BBC msitutanie, ina maana Tanzania haina Kiongozi yoyote Mfujaji mliyemwona katika PANDORA PAPER?

    Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania. Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji...
  12. Ruto rais ajaye Kenya?

    Umati unayo hudhuria mikutano ya Ruto unatisha.Hapa Nakuru strong hold ya team kieleweke. Tangatanga mnatisha.
  13. B

    RAIA 2,000 waPakistani waingia Kenya wakielekea Saudia

    Nairobi, Kenya Serikali ya Kenya imetangaza kuanzishwa kwa operesheni ya kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria raia wa kigeni ambao wako nchini bila kibali. Ingawa inafahamika raia wa kiPakistani wanaruhusiwa kulipia viza wanapowasili uwanja wa ndege au mipakani ikiwa na maana...
  14. Kenya: Vifo vilivyotokana na COVID-19 vyafikia 5,128

    Kenya imepata jumla ya maambukizi 249,725 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona nchini humo. Vifo vya Corona vimefikia 5,128 kwa takwimu walizotoa Oktoba 1 Hadi kufikia sasa watu 241,828 wamepona wakati watu 963 wakiwa bado hospitalini na wengine 2,078 wakitibiwa majumbani mwao Wagonjwa 61...
  15. Nchi kumi za Kiafrika zenye Gdp kubwa. Gap kati ya Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka.

    1. Nigeria 2. South Africa 3. Egypt 4. Algeria 5. Morocco 6. Kenya 7. Angola 8. Ethiopia 9. Ghana 10. Tanzania
  16. B

    Raila Odinga: KANU iliundiwa katika uwanja wa Kirigiti, Kiambu mwaka wa 1960

    30 September 2021 Nairobi, Kenya Raila Odinga: KANU iliundiwa katika uwanja wa Kirigiti, Kiambu mwaka wa 1960 Raila Amolo Odinga akisimulia historia ya waasisi wa chama cha KANU na vyama Vingine vya siasa nchini Kenya. Source : Kenya CitizenTV Waasisi wa KANU 14 May 1960 ni : Jaramogi Oginga...
  17. Mataifa ya Kenya na Uganda yaongeza mpaka moja zaidi

    Tunaendelea kufunguliana maana biashara zinazoga............... Kenya and Uganda have endorsed the establishment of the third point of entry and exit at their common land boundary to boost cross-border trade. The neighbouring countries’ major crossings are Busia and Malaba borders along the...
  18. Mauzo ya matunda Ulaya yaendelea kuvunja rekodi Kenya

    Earnings from horticulture recorded the biggest growth among Kenya’s main agricultural exports in the eight months to August, fresh data shows, cancelling out poor performance by tea. An update by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that horticulture earnings jumped by a quarter to Sh87.8...
  19. Kenya Airways rises 10 places in global aviation ranking

    Kenya Airways (KQ) has risen 10 places in the latest global ranking of airlines to position 79, trailing its regional rival Ethiopian Airlines that ranked among the top 50 carriers. Skytrax World Airline Awards had placed KQ in the 89th position in its previous report that ranks the world’s...
  20. Maembe ya Kenya yapita mtihani na kukubalika Italy, sasa ni mwendo wa biashara

    Tunaendelea kutanua soko la matunda yetu Ulaya na Mashariki ya mbali...mkulima wa Kenya ushindwe mwenyewe. Kilimo biashara ndio mwendo sasa..... ================================= Kenya’s mangoes have received a clean bill of health in Italy in a major boost to growers as the country prepares to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…