Nairobi, Kenya
Serikali ya Kenya imetangaza kuanzishwa kwa operesheni ya kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria raia wa kigeni ambao wako nchini bila kibali.
Ingawa inafahamika raia wa kiPakistani wanaruhusiwa kulipia viza wanapowasili uwanja wa ndege au mipakani ikiwa na maana wanaweza kuanza safari toka Pakistani bila viza na kulipia ktk ofisi za uhamiaji katika viwanja vya ndege nchini Kenya na ofisi za uhamiaji mipakani nchini Kenya.
Aidha wizara ya maswala kigeni pia imesimamisha mara moja mpango wa kuwaruhus raia wa Pakistan kuwa nchini bila viza.
Amri hiyo imetolewa baada ya malalamishi kuibuka kuhusu idadi kubwa ya raia wa Pakistan walioko katika kaunti za Nairobi na Machakos.
Serikali inasema watu hao wako nchini kwa muda wakisubiri kuelekea nchini Saudi Arabia kwani taifa hilo limeweka vikwazo kutokana na janga la corona.
Source: KTN News Kenya
Balozi - Wapakistani zaidi ya 14,000 wamepita Kenya kuelekea Saudia, baada ya kutimiza masharti ya Covid-19
Balozi wa Pakistani asema ashangazwa na operesheni hii mpya wakati waPakistani zaidi ya 14,000 wameshapita nchini Kenya kuelekea Saudi Arabia katika miezi ya karibuni