kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  2. Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

    Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
  3. Baba akamatwa kwa kuwapachika mimba binti zake wawili

    Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka. Inadaiwa mwanaume huyo amekuwa akiendeleza unyama huo huku mkewe akifahamu kinachoendelea. Aliyefichua siri hiyo ni...
  4. Russia says the U.S. is moving bioweapons research facilities out of Ukraine to other countries including Kenya

    Wednesday, December 28.2022 For people who are confused about why U.S. politicians and the West, in general, are so hell-bent on helping Ukraine beat back Russia’s invasion and are convinced that it is something more than just to hide Biden family corruption in the country, Russian officials...
  5. Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
  6. J

    Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

    ..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango. ..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
  7. World largest oil firm Aramco enters Kenya

    Saudi Aramco, the world’s biggest oil producer, is set to enter the Kenyan market through the acquisition of US motor oil and lubricants group Valvoline which has a presence locally. The Competition Authority of Kenya (CAK) gave Aramco Overseas Company, the investment arm of Saudi Aramco, the...
  8. Kweli biashara ya ndege ngumu, Kenya Airways na ukubwa wote wamechemka. Ruto kuiuza kwa Wamarekani. ATCL vipi?

    Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo. Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni...
  9. J

    Dua zenu zimekubaliwa: Kenya haitaagiza tena chakula kutoka Tanzania 2023

    Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo Hii ni habari njema kwa wale...
  10. Kenya: Binti wa William Ruto akana kutumia fedha za umma kwa matumizi binafsi

    Ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kwa maneno mengi mitandaoni kuwa taasisi yake binafsi inatumia fedha za umma kuendesha shughuli zake mbalimbali. Tangu kuapishwa kwa baba yake, Septemba 2022 kuwa Rais wa Kenya, Charlene Ruto amekuwa akikutana na viongozi kote Nchini na kuhudhuria makongamano...
  11. I

    Uteketezaji huu wa vifaranga ni unyama uliopitiliza

    Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko! Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
  12. C

    Kenya: Shule za bweni kwa watoto wa shule za msingi marufuku kuanzia 2023

    Serikali kuanzia Januari 2023 itaondoa shule za msingi za bweni kwa wanafunzi wanaosoma katika darasa la 1 hadi la 9. Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao shuleni asubuhi. Hii ni kwa ajili...
  13. Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  14. Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

    ✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya... === BEI YAKE: Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M ✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa.. ===BEI YAKE: Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza...
  15. Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

    Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi. Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi. Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo...
  16. Tetesi: Behewa za SGR Kenya zilinunuliwa kwa 900M, za Tanzania 2.5B

    Kama hii ni kweli, na behewa zenyewe ndiyo hizi tunaambiwa ni refubished siyo mpya, basi kuna harufu ya upigaji ama TRC wamepigwa na muuzaji.
  17. P

    Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
  18. Rais Ruto awasimamisha kazi Makamishna 4 waliopinga matokeo ya Urais

    Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui. Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
  19. Nataka kufahamu utaratibu wa kupata Temporary Permit ya kuingia Kenya

    Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam, Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya. Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
  20. Kenya imetupora ushawishi wetu katika anga za Diplomasia

    Heshima sana, Tanzania ya Mwl. ilikuwa juu sana katika siasa za kimataifa. Tanzania ilikuwa kinara katika siasa za ukombozi Kusini mwa Afrika. Mwl. alikuwa Mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kupigania uhuru wa nchi za Kiafrika hasa Kusini mwa bara la Afrika. Tanzania ya Mzee Ruksa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…