kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Kenya unaendeshwa kwa misingi ya Kikabila?

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano umekuwa msingi wa siasa za Kenya tangu uchaguzi wa 2002. Muungano wa kwanza ulikuwa wa National Rainbow...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe maua yake kwa uthubutu wa kutatatua mkwamo wa jirani zetu Kenya

    Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga. Sijajua undani kama alikwenda au la lakini iwapo ni kweli alikwenda Nairobi basi hatuna budi kumpongeza Rais Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

    Je, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa? Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto? --- Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini...
  4. JamiiForums Tanzania Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

    Wasalaam nyote, Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya. Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

    Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Kenya lakemea Polisi kujifanya Waandishi wa Habari ili wakamate Waandamanaji

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao. Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshangao Kenya: Spika ajikuta peke yake bungeni

    Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa. Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
  12. JamiiForums Tanzania Bladley Ouna mwanafunzi wa UDSM anayeongoza maandamano kenya

    Msikilize mkurugenzi mtendaji CCK msemaji wa pili baada ya seneta. Alisoma certificate in laws udsm kabla ya kutimkia south africa 2014... wakati huo alikuwa akisakwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya kenya. Ni rafiki wa Chacha machera aliyewahi kushika nambari moja kwa mbio za ubunge...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  14. JamiiForums Tanzania Huduma ya Starlink yaanza kupatikana nchini Kenya

    Huduma ya mtandao ya Starlink imeanza kupatikana nchini kenya kwa taarifa iliyotolewa na Bilionea Elon Musk. Tanzania Nape alisema Musk hajatimiza vigezo.
  15. JamiiForums Tanzania Kenya Quashes Port Deal with Dubai Firm DP World: "There's No Such Proposal"

    Wajanja walikutana na wajanja wenzao... In 2021 Kenya turned to port operator Dubai Port World (DP World) to manage Lamu Port due to a lack of capacity at the state-run Kenya Ports Authority. It was then alleged that... Kenya signed a deal with the Dubai government to allow Dubai Port (DP)...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
  18. JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Wakenya wanalalamika kuhusu DP World, kuna haja ya Tanzania kuendelea nao?

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…