kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania India yaonesha nia ya kupata Duma kutoka Kenya, siku chache baada ya kuipa mkopo wa Ksh. Bilioni 38

    Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wikileaks: Nyaraka mpya za siri zimevujishwa. Tanzania & kenya zatajwa. Steve Jobs alikufa kwa ngoma (HIV)

    Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali. Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi. Taarifa za siri za serikali...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kenya waanza kuondoka DR Congo

    Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo mwezi Novemba mwaka jana kutokana na ombi la serikali ya Kongo kwa matumaini ya kulidhibiti kundi la...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yashika nafasi ya saba kwa maambukizi ya VVU duniani

    Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia kudhibiti maambukizo. Hapa tukiwa kama nchi za JAM lazima tuweke mikakati ya pamoja katika...
  9. JamiiForums Tanzania Kenya inaendelea kutuacha Tanzania: Ofisi za NBA Africa zafunguliwa Kenya kusaidia kukuza vipaji na mchezo wa katika Kikapu

    Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika Mchezo wa Kikapu kitaunga mkono mipango yote ya biashara na maendeleo ya mpira wa Kikapu ya Ligi ya...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kaunda suti haziruhusiwi ndani ya Bunge

    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa vyombo vya habari na wageni Pia alieleza kuwa wasio wabunge ni lazima wakati wote wavae vitambulisho...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Zipo taarifa kwamba walioshirikiana na Naibu waziri wa Sheria kufanya ukatili wamekimbilia nchini Kenya kujificha kupoteza ushahidi

    Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya Naibu waziri. Lengo la watuhumiwa kutoroka nikukwepa kuhojiwa kwa madai kwamba kesi inayofuatiliwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya laidhinisha Polisi kutumwa nchini Haiti

    Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa kesi. Uamuzi wa wabunge hao ulikuja siku ya Alhamisi, mara tu mahakama ilipokuwa ikisikiliza ombi...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yashusha gharama za kuhuisha Vitambulisho vya Taifa baada ya Mahakama Kuu kuweka zuio la Kupandisha

    Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu Mahakama Kuu isitishe tangazo la kupandisha gharama za huduma hizo. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara...
  15. JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

    Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo. Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinaisibu Shilingi ya Kenya?

    Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22 Ni hujuma kwa Ruto Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
  18. N

    JamiiForums Tanzania Binti wa jirani yetu aliwahi kuchukuliwa kwenda kusomeshwa kumbe anapelekwa kwenye mafunzo ya Ugaidi Al Shabab Kenya

    Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee. Kiufupi ilikuwa hivi. Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says

    Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says Kenya's Treasury says the country is facing serious cash flow challenges due to the maturing debts that have delayed the disbursement of funds to various development projects. Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u told the Finance and...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya, Uganda zaanza kusuka mikakati AFCON 2027

    Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…