Kenya inaendelea kutuacha Tanzania: Ofisi za NBA Africa zafunguliwa Kenya kusaidia kukuza vipaji na mchezo wa katika Kikapu

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi

Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika Mchezo wa Kikapu kitaunga mkono mipango yote ya biashara na maendeleo ya mpira wa Kikapu ya Ligi ya Kenya.

Ofisi ya Nairobi inakuwa ya 5 kufunguliwa Barani Afrika baada ya zile zilizopo Cairo, Misri; Dakar, Senegal; Johannesburg, Afrika Kusini, na Lagos, Nigeria

Mkurugenzi Mtendaji wa NBA Africa, Victor Williams amesema, hatua hiyo itaruhusu kufanya kazi kwa karibu zaidi na Wadau ili kukuza mchezo huo Kenya kwa Mashabiki na Wachezaji
IMG_8361.jpeg

===

NBA Africa has announced that a new subsidiary has been established in Kenya, with an office located in Westlands, Nairobi.

The NBA Kenya office will support all of the league’s business and basketball development initiatives in the country.

Nairobi becomes NBA Africa’s fifth office on the continent joining Cairo, Egypt; Dakar, Senegal; Johannesburg, South Africa, and Lagos, Nigeria.

Inaugurating the new office, the first of its kind in East Africa, NBA Africa held a Junior NBA clinic for 70 boys and girls ages 16 and under in Nairobi, in the presence of five-time NBA champion Ron Harper, NBA Africa CEO Victor Williams, BAL president Amadou Gallo Fall and NBA Kenya boss Finley.

“The launch of our office in Nairobi reflects the enormous potential for basketball and the NBA in Kenya and across East Africa,” said Williams.

“Basketball is one of the most popular team sports among Kenyan youth, and having a year-round presence on the ground will allow us to work more closely with local stakeholders to further grow the game here and make it more accessible to fans and players across the country.”
 
View attachment 2829770

imekuacha wewe. mpira huo kwanza africa hata hauna mvuto. wakenya mpira hawajui, wanajua tu riadha, waacheni basi wapate hata iyo nayo.
 
Ujamaa mentality Bado ni shida kubwa sana Nchi hii ndio maana Rais akitafuta wawekezaji mnasema anauza Nchi.

Wacha tuendelee hivi hivi na majinga yetu na vile lugha ni shida Hatuwezi kwenda Nje kupata exposures tutasalia kurithishana ujinga hivyo hivyo.
 
Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi

Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika Mchezo wa Kikapu kitaunga mkono mipango yote ya biashara na maendeleo ya mpira wa Kikapu ya Ligi ya Kenya.

Ofisi ya Nairobi inakuwa ya 5 kufunguliwa Barani Afrika baada ya zile zilizopo Cairo, Misri; Dakar, Senegal; Johannesburg, Afrika Kusini, na Lagos, Nigeria

Mkurugenzi Mtendaji wa NBA Africa, Victor Williams amesema, hatua hiyo itaruhusu kufanya kazi kwa karibu zaidi na Wadau ili kukuza mchezo huo Kenya kwa Mashabiki na Wachezaji
View attachment 2829770
===

NBA Africa has announced that a new subsidiary has been established in Kenya, with an office located in Westlands, Nairobi.

The NBA Kenya office will support all of the league’s business and basketball development initiatives in the country.

Nairobi becomes NBA Africa’s fifth office on the continent joining Cairo, Egypt; Dakar, Senegal; Johannesburg, South Africa, and Lagos, Nigeria.

Inaugurating the new office, the first of its kind in East Africa, NBA Africa held a Junior NBA clinic for 70 boys and girls ages 16 and under in Nairobi, in the presence of five-time NBA champion Ron Harper, NBA Africa CEO Victor Williams, BAL president Amadou Gallo Fall and NBA Kenya boss Finley.

“The launch of our office in Nairobi reflects the enormous potential for basketball and the NBA in Kenya and across East Africa,” said Williams.

“Basketball is one of the most popular team sports among Kenyan youth, and having a year-round presence on the ground will allow us to work more closely with local stakeholders to further grow the game here and make it more accessible to fans and players across the country.”
Hao Wakenya huwa Wanatuachaga sana Vitu vya Ajabu Ajabu...!

Hivi Wewe Afrika na Basketball Wapi na wapi?

Napenda sana michezo,Lkn Miongoni mwa Wanangu alijifanya Eti ana kipaji cha huo mchezo,

Nimempeleka Veta akajifunze Ufundi...Sitaki Ujinga Mie..!

Wakenya Wao Wanatakiwa Wapromoti Riadha...!
 
Back
Top Bottom