Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
nchini kenya kuna ishu ya raisi kujenga Kanisa ikulu, ila kilichonishangaza kama mtanzagiza ni kwamba raisi Ruto kasema anatumia fedha zake au kwa maana nyingine ameelezea alikozitoa fedha za kujengea Kanisa kwa maana kwenye bajeti haipo, sasa vs tanzagiza raisi kanunua magoli, kagawa fedha...
Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025 katika mazishi ya shangazi yake marehemu Gladys Gathoni Kahua huko Kaunti ya Nyeri, Gachagua alisema...
Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatomuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga Kanisa Ikulu ambapo amewashangaa wanaoanza kuleta manenomaneno kwasababu amejenga Kanisa hilo huku akisisitiza kwamba hajaanzisha Kanisa jipya bali anajenga Kanisa bora zaidi na la kisasa baada ya kukuta...
TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN)...
Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai
Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania...
Nimekuwa nikifuatilia maandamano ya Kenya kwa karibu sana,yanayoendelea ni yale yale matokeo ya kutotii mamlaka na madhara yake wote tumeyashuhudia.
Kilichonifanya nitie kalam yangu ni uhusiano uliopo kati ya CHADEMA,EALS,na wanaharakati wa haki za binadamu wasiofahamu panapodaiwa haki kuna...
Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu na kwa ajili ya maendeleo yao. Umefika wakati sasa madeni yameiva, theluthi mbili(60%) ya mapato...
Anaandika Mkurugenzi wa mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook
===
Naangalia yanayotokea kwa jirani zetu Kenya; najiuliza: ni nani alitudanganya kwamba hiyo ndiyo maana ya demokrasia?
Ni kweli na ni sahihi kwamba ni lazima wananchi wahoji mamlaka pale...
Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa utulivu na kujizuia
Maandamano ya Jumatano yalianza kwa amani lakini yakaishia kuwa machafuko huku...
https://youtu.be/05F_thApmuY?si=2FY_ab04Lot3yoUn
Hili limetafsiriwa tofauti na wananchi waliokuwa wanamsikiliza. Waziri Murkomen ameliambia jeshi la polisi la Kenya kama atatokea mtu anataka kukudhuru, kuchoma kituo cha polisi au kupora bunduki basi askari wamuwahi kabla.
Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.
2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8
3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki
Sasa wanataka nini?
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza...
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.
Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.
Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.
Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?
Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ?
je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ?
je, matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.