kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapendekezo sheria mpya marufuku unywaji pombe chini ya miaka 21

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imependekeza kuongeza umri wa kisheria wa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21, kama sehemu ya sera mpya ya kitaifa inayolenga kudhibiti matumizi ya vilevi miongoni mwa vijana. Hatua hii ni mojawapo ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Fatuma Jehow adai watamwibia kura Rais Ruto 2027

    Mbunge wa Viti Maalum Kaunti ya Wajir, Fatuma Abdi Jehow, amenukuliwa na Buzzroom Kenya akisema kuwa endapo Rais William Ruto hatopata kura za kutosha mwaka 2027 katika eneo la Kaskazini Mashariki (North Eastern), basi watamwibia kura ili ashinde. Katika kile kilichoonekana kama kauli ya mzaha...
  3. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni taarifa za wanandoa watarajiwa ikiwemo majina na picha

    Wakuu, Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo imeibua mshangao na mjadala miongoni mwa wananchi. Awali, utaratibu huo ulikuwa wa kawaida ambapo...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

    Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania. Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu...
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Chief Kadhi of Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein has Died

    Kenya's Chief Kadhi, Sheikh Athman AbdulHalim Hussein, has died. Jamia Mosque Imam Sheikh Jamaludin Osman confirmed the news saying the Chief Kadhi died in Mombasa He added that Sheikh AbdulHalim Hussein's funeral will take place after Asr prayers “Indeed, we belong to Allah, and indeed, to...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi ya Kenya iliyofanya mabadiliko (reforms) kuliko nchi yoyote ukanda huu wananchi wake wanalalamika sana? Je, reforms tu zinatosha?

    Kuna watu wanaaminisha watu kwamba reforms ndio mwarobaini wa kila kitu, reforms ndio masiah. Kama kuna nchi imefanya reforms ya kuanzia katiba ya nchi mpaka ya chama cha kufa na kuzikana cha kule Sugoi, basi ni Kenya. Kwa nini Kenya haijawa paradiso ya Afrika Mashariki na Kati kiuchumi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wananchi wakichimba barabara ni kutoka maandamano ya Kenya 2025

  9. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya watoto huibiwa, kuuawa na kuliwa nyama zao

    Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana. Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mpiga Tarumbeta aibua Kicheko Mazishini Kenya, tarumbeta yazingua!

    Katika tukio lililogeuka burudani ya ghafla katikati ya huzuni, mpiga tarumbeta mmoja nchini Kenya amezua kicheko wakati wa mazishi baada ya tarumbeta yake kushindwa kutoa sauti stahiki! 😅 Video hiyo ya kuchekesha inaonesha mpiga tarumbeta akiwa makini kupuliza ala hiyo ya sherehe huku sura...
  12. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoilamu na kuizodoa Kenya ya katiba mpya hawaifahamu vizuri Kenya ya katiba ya zamani ya Jomo, Moi na Kibaki

    Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu . Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi. Hawa watu wanapaswa kujua kuhusu mauaji ya Kisimu ya mwaka 1969 ya zaidi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nadhani kinachoitesa Kenya ni miraa (mirungi) kuruhusiwa

    Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa, Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani . Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Should Tanzania intervene to restore peace and order in Kenya?

    As a humble EAC citizen Im obliged to propose a permanent solution towards a long lasting unrest and disorder in our neighbouring Nation of East Africa namely Kenya. We might know for sure that this on going civil unrest at Kenya is partly due to historical background of tribal clashes fueled...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 10 wauawa katika Makabiliano ya Maandamano ya Saba Saba

    Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi. Katika eneo la Kangemi, raia mmoja alipigwa risasi na hali yake haijafahamika, huku wengine wawili wakithibitishwa kufariki...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  19. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Gen-Z wa Kenya wanataka kujinasua wa kwetu wenyewe ni Chawa wa Mama!

    Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali unajiuliza ni wapi tulipokosea?
  20. Daby

    JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
Back
Top Bottom