kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How Many Times Can An Eligible Voter Register?

    An individual may only register to vote once in the constituency or registration location of their choice. Making multiple registrations is illegal.
  2. JamiiForums Tanzania Kenya to Challenge Russia Over Use of Kenyan Nationals in Combat

    Kenya has announced plans to confront Russia over what it calls the “unacceptable” involvement of Kenyan nationals in armed conflicts abroad. Nairobi condemned reports that its citizens are being used as combatants, warning that such actions violate international norms and could strain...
  3. JamiiForums Tanzania Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

    Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini. Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026 Tarehe: Februari...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania When can someone be denied registration as a voter in Kenya?

    When you're younger than eighteen. When you don't have a valid Kenyan passport or the original ID card. When, over the previous five years, you were alleged to have committed any election offence or found guilty by an election court. If you are deemed mentally incompetent by a competent court.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji uliojengwa na China wafufua mashamba ya Kenya

    Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

    Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
  10. JamiiForums Tanzania Kenya inachezewa kamchezo kadogo sana na Tanzania, Viongozi wanajua wananchi hawaelewi

    Katika diplomasia ya kiuchumi, thamani ya fedha ni kama sumaku. Inaposhuka, inavuta wateja na watalii kuja ndani ya nchi, na inapopanda sana, inawafukuza na kuwapeleka kwa majirani. Kwa kutumia mfano wa Tanzania na Kenya, hivi ndivyo mantiki hii inavyofanya kazi katika biashara na utalii: Katika...
  11. JamiiForums Tanzania RUTO: Tanzania na Uchumi wao mdogo, wananunua shamba hapa Upper Hill Kenya kujenga ghorofa na sisi tumelala

    Williams Ruto hawapelekea moto wakenya baada ya kuona hawajitumi katika kujenga Nchi, huku akitolea mfano wa Watanzania wameenda kununua ardhi maeneo ya Upper Hill jijini Nairobi sawa na maeneo ya Masaki Osterbay na kisha kujenga Ghorofa kali. Huku wakenya wengi wakiwa wamelala bila ya kujituma...
  12. JamiiForums Tanzania China na Kenya zafikia makubaliano kuhusu biashara

    Wizari ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda ya Kenya hivi karibuni ilitangaza kuwa, nchi hiyo na China zimefikia makubaliano ya awali ya biashara, ambapo China itasamehe ushuru wa asilimia 98.2 ya bidhaa za Kenya. Waziri wa wizara hiyo Lee Kinyanjui, ameyataja makubaliano hayo kama “zawadi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakamata bus kutoka Tanzania likisafirisha bangi

    Police nab Tanzanian bus company ferrying bhang worth Sh2.5 million to Nairobi in Namanga Poleni watoto wa mama, mama atawatetea msilie ee
  14. JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali tumezidiwa tujifunze kutoka Kenya

    Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza 1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nahofia kuchafuliwa kwa uhusiano wetu na Kenya

    Tangu kuja kwa Serikali ya Samia inaonekana kana kwamba kuna juhudi za makusudi za kuharibu uhusiano wetu na Kenya na Wakenya. Machafuko yaliyotokea Tanzania tangu Oktoba 29 mwaka jana, yamezidisha 'chachu' ya majaribio hayo ya makusudi ya kuharibu uhusiano uliojengwa kwa juhudi kubwa. Kisa ni...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasitisha vibali kwa madaktari wageni wenye vigezo sawa na wazawa

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya imetangaza kusitisha utoaji wa vibali vya kazi kwa madaktari wa kigeni wenye vigezo sawa na madaktari wazawa ikisema vibali vitatolewa tu kwa madaktari bingwa wa kigeni wenye ujuzi maalum usiopatikana nchini humo ambapo hatua hiyo imelenga kulinda ajira...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

    Hapo chini hakuna majirani na ndugu zetu wa Kenya kwasababu wenyewe wana katiba, HAKI, demokrasia hivyo pamoja na kwamba ni majirani na ndugu zetu hawamo. Vilevile Kenya walipewa $1.6B kwenye Afya Nigeria, Angola, Senegal, Tanzania, Gabon, Benin, Mali, Burkina Faso, Niger, South Sudan, Chad...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi [dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  20. JamiiForums Tanzania Kiswahili sio lugha ya taifa la Tanzania ni lugha ya taifa la Kenya- Prof Safari

    KISWAHILI SIO LUGHA YA TAIFA LA TANZANIA NI LUGHA YA TAIFA LA KENYA- PROF SAFARI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…