stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 36,007
- 34,774
Katika hali iso ya kawaida kuna movement ilioanza toka mwaka 2011 ya mombasa kujitenga na kenya kua nchi inaojitegemea, baadhi ya watu hawafurahii kuwepo kwa nchi moja ambayo Mombasa ipo ndan yake kutokana na sababu nyingi sana lakini kuu ni siasa za nairobi kutoshabiana na uhalisia wa aina ya watu wanaoishi pwan, Haswa katika upande wa uchumi
Vuguvugu hili lilianza mda wa nyuma kidogo lakini limeanza kupata nguvi siku za karibuni tena baada ya vikundi kadhaa kurudisha falsafa hio kwa wana mombasa
www.voanews.com
www.france24.com
Vuguvugu hili lilianza mda wa nyuma kidogo lakini limeanza kupata nguvi siku za karibuni tena baada ya vikundi kadhaa kurudisha falsafa hio kwa wana mombasa
Mombasa Separatists Still Want Split from Kenya
Despite possible increased local representation in national government, Mombasa Republican Council continues quest for secession
www.voanews.com
Focus - Kenya unrest: Mombasa secessionism on the rise
Kenya's Indian Ocean coast is best known for its tourism. Westerners flock to the sandy beaches around the booming cities of Mombasa and Malindi, in a bid to escape cold winters. But this region also…