kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. J

    Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
  2. Rais Uhuru Kenyatta: Tanzania na Kenya zikishirikiana pande zote zitashinda

    Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Kenya na Tanzania zitashirikiana, ushindi utakuwa wa wananchi wa Nchi hizo mbili. Amesema Mataifa hayo yajiona kama Nchi ambazo zinashindana hazitaweza kupata Wawekezaji wakubwa Ameeleza kuwa, Wananchi wa Mataifa hayo wakijiona kama ndugu na kushirikiana badala...
  3. US$ Billionaire Rostam Aziz scolded at protectionist Kenya

    Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya WEDNESDAY MAY 05 2021 Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI Summary Rostam was speaking at a high level business forum that was hosted by Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru...
  4. Bidhaa za Tanzania huwa zinapigwa vita sana Kenya

    Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya. Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita. Wakenya kutoka...
  5. J

    Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

    Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania. Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
  6. Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

    Ukienda kwa Museveni Uganda Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi. Ukienda kwa Kenyatta Kenya Huku utapata sana 'Madili' ya...
  7. Rais Samia nia yako ni njema lakini hao unaowaongoza akili zao wanazijua wenyewe

    Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
  8. Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
  9. Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

    Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi. Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
  10. Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign. 1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa...
  11. Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

    Hakuna barakoa, wala social distance. Hii ni ujumbe gani kwetu?
  12. Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini

    Wakuu Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260. Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi? Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya...
  13. Kenya ndio uchumi tajika hapa Afrika Mashariki. Hilo jambo halipingiki

    Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy...
  14. Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

    Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara Awali Rais Samia alisema...
  15. J

    Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. #KaziIendelee ====== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  16. Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

    I should be frank to Madam President on her rushed visit to Kenya to do agreements with unpredicted regime that is full of surprises and about to wind up as early as February 2022. Though I understand through our constitution every President is allowed to have different approach on regional...
  17. Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

    I should be frank to Madam President on her rushed visit to Kenya to do agreements with unpredicted regime that is full of surprises and about to wind up as early as February 2022. Though I understand through our constitution every President is allowed to have different approach on regional...
  18. L

    China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa. Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii. katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
  19. Kenya teaches China a lesson

  20. EA markets: Kenya vs Tanzania

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…