kelele ya kweli

kelele ya kweli

Joined
Oct 25, 2017
Posts
34
Reaction score
32
ni kweli inatokea sababu bank haina engineering people wanaweza detect wizi ukitokea. CRDB iko overloaded sana , staff wako na massive client ku handle na wako na burn out kubwa sana . miundo mbinu hakuwa design handle huge traffic katika categories tofauti. ni fursa kwa skilled people deal na hizi mambo . hizi ndoo kazi hazitaki kujuana na tatizo jingine expert tz hawakupi pesa nzuri .sasa usikie kenya wanalipa vizuri why uendelee kuwepo hapo.BOT pia haina enough expertise ku deal na hizi mambo maana lawama zote zinaishia kwao kama mamlaka ya mwisho.
 

Attachments

  • FireShot Capture 316 - CRDB kuna wizi sana wa kuhamisha pesa za watu. Nilijua mimi tu ila _ - ...png
    FireShot Capture 316 - CRDB kuna wizi sana wa kuhamisha pesa za watu. Nilijua mimi tu ila _ - ...png
    145.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom