kelele

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  3. JamiiForums Tanzania Utanzania wa watanzania hauondoshwi na kelele za wanaharakati uchwara

    WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya kijamii ikiwemo misiba na sherehe na mambo mengine ya namna hiyo. WAKATI nchi zingine watu wanaalikwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa Mbuyuni-Salasala, Dar kuna baa mpya inakera kwa kelele mpaka usiku wa manane

    Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani. Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  6. JamiiForums Tanzania Responded Kelele za Makanisa: NEMC Yatoa Onyo, Yaeleza Hatua Inazochukua

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limebainisha mikakati na hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira utokanayo na kelele za nyumba za ibada. Akizungumzia kero ya kelele hasa zile zinazosababishwa katika nyumba za ibada...
  7. JamiiForums Tanzania Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
  8. JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yaweka ada mpya za Harusi, Roadshow na matukio yenye kelele

    Wakazi wa Nairobi wanaopanga harusi, ibada, roadshow, ujenzi au hafla nyingine zinazoweza kusababisha kelele sasa wanaweza kulazimika kulipia vibali vya kelele chini ya Nairobi City County Finance Act, 2026. Chini ya sheria hiyo, harusi zinazofanyika katika maeneo ya makazi zitatozwa KSh20,000...
  10. JamiiForums Tanzania CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  11. JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania October 29, siku ambayo nakiri nilikuwa nimejifungia ndani lakini milio ya mitutu ya vitani na kelele za misiba vilinifanya nijihisi nipo Iraq

    October 29 nilikuwa nyumbani kama ilivyokuwa kwa millenials wengi wa 90 kurudi nyuma ambao tumekuzwa kwenye uoga, kutii bila kuhoji, utiifu uliotukuka na ukimya . lakini jinsi moyo wangu ulivyokuwa ukidunda, nilijihisi kama nipo Iraq. Ta! Ta! Ta! Ta! Hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini bongo hakuna organized youtubers ila tuna wapiga kelele na watingisha makalio huko tik tok na insta

    Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu Au basi tu watengeneza maudhui na sisi watumiaji wote akili moja 😁
  14. M

    JamiiForums Tanzania kelele na hakuna flow nzuri

    message nzuri ila ina a lot engineering error , iko shallow marketing but in engineering sense it is chaos hakuna good logic flow https://www.jamiiforums.com/threads/wanachuo-vijana-msio-na-kazi-unaweza-pata-5000-20-00-kwa-siku-kutumia-ai.2367566/
  15. M

    JamiiForums Tanzania kelele

    hii ni kelele , weka hata bei, location https://www.jamiiforums.com/threads/fast-food-kwa-wafanyakazi-wa-maofisini-dar-es-salaam-karibuni-sana.2453387/ jamii forum inapoteza pesa kijinga title ya Expert Member inabidi watu walipie pie watu wanaweza rated by star baada hata jamii forum waanza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania kelele hakuna easy flow hata layman au mtu uko limited time uelewe ,

    ujumbe umejificha kwa kelele nyingi hakuna flow nzuri , mtu rahisi sahau kwa ajili ya kelele Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka post ni ndefu balaaaaa
  17. M

    JamiiForums Tanzania kelele ya kweli

    ni kweli inatokea sababu bank haina engineering people wanaweza detect wizi ukitokea. CRDB iko overloaded sana , staff wako na massive client ku handle na wako na burn out kubwa sana . miundo mbinu hakuwa design handle huge traffic katika categories tofauti. ni fursa kwa skilled people deal na...
  18. JamiiForums Tanzania Eti wenye Pesa hawana Kelele one day ntachafukwa niwape wana JF kwa idadi ya watu 500 kila mtu 100,000, mi si tajiri Lakini

    Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu Siko vibaya sana Nasema haya makusudi, Ninyi ndugu zangu, kwanza dunian hakuna mtu maskini ni...
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Fleva kwanini mnapiga kelele wakati wa kuimba?

    Salaam Wakuu, 1. Ni aibu sana.. Msanii unaingia kuimba unapiga kelele. Kwa kelele hizo, pumzi zinakata hata hajamaliza Beti ya kwanza. 2. Wanalazimisha watu kuweka mikono juu, kupiga vigeregere, kuoiga miluzi nk. 3. Tumelipa kiingilio tuimbiwe, lakini msanii akipanda anamwambia DJ azime...
  20. JamiiForums Tanzania AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…