keki

Keki Adhikari (Nepali: केकी अधिकारी) is a Nepalese film actress and a professional model. She has appeared in numerous music videos, television commercials, print ads and more than a dozen of Nepali movies. She started off her career featuring in several music videos before making it into the silver screen. She made her acting debut with Swor opposite Raj Ballav Koirala. She subsequently earned wide recognition for her performances in I Am Sorry and Masan, Mayako Barima, Mahasus, Biteka Pal and Mero Best Friend. She recently made her debut in theater with historical play Chaarumati, written by writer and a researcher Satyamohan Joshi.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  2. music mimi

    JamiiForums Tanzania Keki ya birthday

    Wiki ijayo ni birthday ya mpenzi wangu. Anapenda sana cake na chocolate. Naomba mnisaidie idea simple ya kumfikishia cake by surprise maana mimi nimesafiri ila nataka imfikie kwake makongo. Naomba mnipe suggestion page ya insta au twitter wanaouza cake tamu yenye ladha nzuri na laini ili...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchoro maarufu wa "Mona Lisa" watupiwa keki na mtalii

    Mei 29, mchoro maarufu wa Leonardo da Vinci "Mona Lisa" kwenye Jumba la Makumbusho la Louvre huko Paris, Ufaransa, ulitupiwa keki na mwanaume mmoja aliyejifanya kuwa mwanamke mzee mlemavu anayetumia kiti cha magurudumu, na cream nyeupe ilipakwa kwenye kifua cha Mona Lisa. Kwa bahati nzuri...
  4. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano kuondoka ada Ili mzazi ale keki ipi ya nchi hii

    Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure. Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Karibu keki ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Karibu keki ya Miaka 60 ya uhuru
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nini Jukumu la Mkemia Mkuu, TMDA na TBS katika kuhakiki ubora wa mafuta, vitambaa, keki na maji ya upako?

    Katika Huduma za Kiroho mbalimbali ndani na nje ya nchi kumekuwa na shuhuda za hadharani kabisa kuhusiana na matumizi ya bidhaa za upako kama mafuta, maji, vitambaa, bangili, keki nk. Nyingi za shuhuda hizi zimekiri nguvu iliyomo ndani ya bidhaa hizi ikiwemo nguvu ya kufisha baadhi ya...
  7. judey

    JamiiForums Tanzania Tunapamba Ukumbi na kutengeneza keki za aina zote

    Tunatengeza keki za aina zote na kupamba ukumbiii kwa maeneo ya Dar es Salaam Mawasiliano 0764240743 WhatsApp Karibu sana mteja kwetu wewe ni mfalmee
  8. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaofaidi keki ya taifa ni nani hasa kati ya Wananchi na Viongozi?

    Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto. Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa? Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8...
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Keki kwa wenye pesa zao

  12. Tebajanga

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kupamba/ Decorate Keki

    Habari wakuu, Natafuta mwalimu wa kike anayejua kufundisha kupamba keki kwa Dar es Salaam. Unaweza ukajibu uzi huu au kunitumia meseji.
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wema ni keki isiyooza na itakupa faraja maishani mwako

    Kabla ya Uhuru wakati Tanganyika ikiwa katika uangalizi wa Uingereza, kuna binti wa Kiingereza alikuja Tanganyika baada ya kumaliza mafunzo yake ya udaktari huko kwao. Daktari Mkuu katika Hospitali ya kanisa alikopangiwa alikuwa raia wa Australia na yeye akawa Msaidizi wake. Siku moja akiwa...
  14. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi za harusi, keki za sherehe na upambaji katika kumbi mbalimbali

    Habari Karibuni wateja kwa huduma za Upambaji kwenye sherehe mbalimbali, pia tunatengeneza keki za sherehe mbalimbali kama ubarikio, harusi, sendoff, nk na vilevile tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, sendoff, kitchen party, bag party, mazishi, kadi za hongera, seasonal cards, Business...
  15. Zilipa

    JamiiForums Tanzania Vifaa vinauzwa vya keki

    Vyote 300000 Mawasiliano 0782524405
  16. Panda II

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Oven ya mikate/ keki inauzwa

Back
Top Bottom