kazini

  1. JamiiForums Tanzania Video: Nyumbani baba, kazini kichaaa

  2. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI August, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI August, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  3. JamiiForums Tanzania Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku

    Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi Sijui wewe
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

    Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
  5. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. Talent sourcing solutions UTUMISHI is a government organization...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Isuzu tipa chuma kipo kazini

    ,
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto kazini

    Ila kuna vitu vinachekesha sana🤣🤣
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ambaye hujitoa mhanga kujali, kusaidia sana, kuonyesha huruma kupitiliza kwa kila mtu kazini na kwenye mahusiano huishi maisha magumu sana

    Jambo hili linaigusa hali halisi ya watu wengi wenye moyo wa huruma, unyenyekevu, uvumilivu na tabia ya kujali wengine kupita kiasi. Hawa ni watu ambao kiasili ni wema, lakini mara nyingi hupitia maisha magumu sana kuliko hata watu wenye roho ngumu. Hii hutokea kwa sababu kadhaa zifuatazo: 1...
  10. JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kuwa ukiwa na Watu wenye 'Nuksi' iwe katika Familia au Kazini au Michezoni sahau kabisa Kufanikiwa kwa lolote

    Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi fulani utaona Mambo yanaenda vyema ila pia kuna Watu ukiwa nao huko huko katika hizo Taasisi...
  11. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuthibitishwa Kazini?

    Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawajaumia mechi ya tarehe 15 kusogezwa mbele. Wameumia kuondolewa kazini viongozi wa bodi ya ligi

    Huo ndio ukweli mchungu
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mstaafu, au mzoefu kazini, shauri au toa mbinu mbalimbali zinazofaa kwa mtumishi hasa wa local government azitumie ili afanikiwe kiuchumi

    Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - Kifungu cha 31(10) cha sheria ya kazi na mahusiano kazini kinanichanganya

    Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi: - 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the rate of one day’s basic wage for every 13 days the employee worked or was entitled to work. Na kifungu...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  18. JamiiForums Tanzania Kibatala atakuwa Wakili wa Kanisa kwenye sakata la Serikali na Dr. Gwajima

    KIBATALA NDIE WAKILI WA ASKOFU GWAJIMA KWENYE HILI LINALOENDELEA. PPeter Kibatala: Nimepewa rasmi maagizo na KANISA LA UTUKUFU WA KRISTO TANZANIA, linalojulikana kikanisa kama KANISA LA UFUFUO NA UZIMA, chini ya uongozi wa Askofu Josephat Gwajima, kulitumikia kama Wakili wake, na kuliwakilisha...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  20. JamiiForums Tanzania Njia ya ZANU-PF ya Zimbabwe ndio iliyopo kazini Tanzagiza kukiwa hakuna upinzani hata wa kuikaribia MDC, mbele ni giza tupu.

    Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi. Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…