Hili ndilo swali la DHARURA linalotakiwa kupata jibu haraka wakati huu kabla ya masaa 72 hayajatimia kama walivyo ahidi kabla ya zoezi la uchafuzi kuanza hapo Oktoba 29.
Hawa wanafanya kazi gani wakati uchafuzi ulizuiliwa na wananchi?
Kwa nini waruhusiwe kuendelea kutoa matokeo ya zoezi ambalo ni haramu?
Shughuli za hii tume ni muhimu zidhibitiwe mara moja kabla hawajamtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi