kazini

  1. JamiiForums Tanzania Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

    Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki. Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Misri kuwazuia wafanyakazi ambao hawajachanjwa kwenda kazini

    Misri itawazuia wafanyikazi wa umma ambao hawajachanjwa dhidi ya kuingia katika majengo ya serikali kutoka katikati ya mwezi ujao. Ilani ya baraza la mawaziri Jumapili ilisema wafanyikazi watalazimika kupewa chanjo au kufanyiwa vipimo vya Covid kila wiki ili waruhusiwe kuingia kwenye majengo...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki. Hili suala la kuniita CAG...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

    Atukuzwe Mungu wetu Aliye Mkuu na Mtakatifu Sana. Usiku wa jana nilikua ndani ya viunga vya Kariakoo, sehemu muhimu kibiashara ndani ya jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.. Nitaleta Mrejesho wa kile kilicho nipeleka pale Kwa Sasa nataka kufahamishwa/kujuzwa Jambo hili ambalo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakili mwandamizi wa Serikali (Senior state attorney upatikana kwa umahiri wa kazi au ni kwa muda mrefu kazini?

    Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali. Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Watumishi wa Umma wasiochanjwa wapigwa marufuku kazini

    Serikali ya Zimbabwe imewazuia Watumishi wa Umma ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kwenda kazini, ikisema walipewa muda wa kutosha kupata chanjo hizo Mamlaka Nchini humo zinasema takriban 90% ya watu wanaolazwa Hospitali kwasababu ya Virusi vya Corona hawajapata chanjo. Wastani wa visa...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

    Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia...
  8. JamiiForums Tanzania Watumishi 4,380 walioondolewa kimakosa warejeshwa kazini

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

  10. JamiiForums Tanzania Hivi ukiishia Certificate ya Clinical Medicine unakua na majukumu gani kazini?

    Habari wakuu, nauliza ukisoma ile technician certificate NT Level 4 ya miaka 2, majukumu yako kazini yanakua ni yapi ukilinganisha na mwenye diploma?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam #KaziInaendelea #ChamaImaraSerikaliImara
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwenda kazini ukiwa na dread?

    Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread). Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa kufanya kazi hasa mwanaume huku akiwa na dread? Naomba kujua wakuu.
  13. JamiiForums Tanzania Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini. Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
  14. JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, hatimaye baada ya miaka 7 kazini mwezi huu nimepanda daraja

    Sina Mengi Mungu akubariki Sana mama ambaye umeona na kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini. Wewe uliyeona kuwa wafanyakazi nao ni watu wenye mahitaji, familia na changamoto kama Binadamu wengine. Tofauti kabisa na mtangulizi ambaye aliamini wafanyakazi ni maroboti na wanatakiwa kufanya Kazi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nafarijika sana kumuona mzalendo nambari moja akiwa kazini

    Wadau wa JF Ninafuraha na amani kubwa nimuonapo Malendo Nambari Moja akichapa kazi Matokeo ya haraka Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu KaziIendelee Hongera sana Kiongozi wetu Mkuu
  16. JamiiForums Tanzania Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

    Good afternoon jamiiforums Hivi unafahamu ya kwamba watoto wadogo hao unaowaona kama bado hawaijui dunia vema wanaweza kuwa wanajua mambo mengi sana yanayoendelea mitaani kuliko watu wazima? Wakati wewe upo kazini, watoto hawa wanazurura mitaani hivyo wanakutana na mambo mengi sana. Ukiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

    Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani. Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja. Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza. Mtu mumeajiriwa pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kimasomo kazini ni suala linalohitaji kuangaliwa vizuri

    Licha ya umuhimu wa kuboresha maarifa kazini bado suala hili limekuwa na ukakasi mwingi kuliko mianya bora ya ufanisi. Licha ya wawakilishi wa mwajiri kuwatatavwatumishi wengi kujiendeleza kwa gharama zao wenyewe kimasomo bado sheria ya kutumikia muda wa daraja la mshahara ni changamoto kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

    Habari za Jumapili. Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Kitila Mkumbo: Mgomo wa madereva wa kiwanda cha Dangote umeisha, uongozi umekubali kuwalipa stahiki zao

    Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…