Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

Mchina wa kichina...
Btw..
Kung fu kwa sasa china zimebaki kama tamaduni za zamani watu wengi wala hawana ishu nazo sio kama zamani watoto walikua wanafundishwa kama sehemu ya utamaduni.
Sasa hivi kung fu kwa mchina ni kama mbongo na utamaduni, sio kila mbongo anajua kucheza ngoma za kabila lao.

Nb. Sio ukapalamie wachine huko viwandani wakubomoe uanze kunilaumu😆
 
Hii tabia ya kishamba watu wanapigana sehemu yenye vitu vya hatari vyuma watu wako bizze kuchukua video je mmoja angechukua chuma akamuuwa mwenzie yaani kuna watu wa ajabu kweli
Mkuu unajua chanzo cha kifo cha kaka wa Babu tale, Abdu bonge??

Kama sio ndugu yako anapigana usiende kuamua tu. Na kama ni ndugu anapigana hutakiwi kuamua, unaingilia ugomvi haijalishi nduguyo ndio mkorofi. Hii inasaidia familia kutokuchezewa na kila boya+mlevi....Hiyo ndio Code ya familia yetu.
 
Aisee yaani nione ndugu yangu anapigana nisiamulie ugomvi mkuu moyo wa ujasiri sina kwenye hiyo video wangeuwana je
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom