Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi?
Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu kiasi kwamba hata ukifika yuko mwenyewe unakuwa na amani kwa bashasha.
Hizi sampuli wanazojipatia...
Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can?
Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010.
Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi kupata mtu sahihi, hata walipojaribu kuteua watu wenye dosali ktk jamii bado napo imekuwa ngumu...
Habari wana JamiiForums samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini ana tattoo ya jina mkononi, anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma na pasi wanasema makovu hawataki.
Anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri.
Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma.
Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category"
Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha.
Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
Habarini wanajamvi ningeenda kujua, eti kupata kazi za hotelini Zanzibar lazima ujuane na kiongozi yeyote?
Je, kipindi cha low season kuna hotel ambazo hazifungwi? Ni zipi?
Binadamu ni project au mpango wa viumbe wa sayari ya mbali ambao walimtengeneza binadamu kwa ajili ya kazi yao ambayo ilikuwa ni kufanya kazi katika migodi ya dhahabu.
Sayari ya Dunia Ilivyotokea na kuwa kitovu cha dhahabu (A Planet Of Gold)
Kabla ya miungu ya juu haijakuwapo. Sayari ya Ki...
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo buhongwa-Mwanza, Kazi yake aieleweki anashinda ndani kwenye computer kuanzia asubuhi mpaka jionii, labda...
Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi.
Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi kuipenda ccm as if hiki ni chama kipya kilichosajiliwa juzi. Kumbe ni chama kilichozeeka na...
Mtangazaji mkongwe ambaye ni mmiliki wa Platforms za Simulizi na Sauti ameituhumu kampuni ya Nishati ya Lake Energies (zamani lake oil) kuwa imemdhulumu malipo ya kazi aliyoifanyia kampuni hiyo na kila anapojaribu kufuatilia amekuwa akizungushwa.
Kitendo hicho kimefanya afikie hatua ya kuweka...
Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote
Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu ya changamoto za kiuchumi.
Ninaomba kazi ili nipate japo pesa ya kula na ya mahali pa kuishi kwani...
Habari za muda huu wakuu.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.
Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.
Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
Kuna watu wanakupigia simu eitha uwape namba ya dreva tax,bodaboda wakiomba huduma eneo fulani au Kama una namba zao uwapigie waende walipo hasa maeneo yanayotajwa ni yale wanayojua ulipo hayawezi kukosa,makanisa,shule,stendi,kiwanja cha mpira au soko
Ukimwambia bodaboda au dreva tax nenda...
Kampuni ya ZESCO Limited inatarajiwa kuanzisha ratiba mpya ya kukata umeme kwa maeneo ya makazi huko Lusaka licha ya uwepo wa wasiwasi kutoka kwa wadau kuhusu mpango huo wa kukata umeme wa masaa 8 kila siku.
Msemaji wa kampuni hiyo, Matongo Maumbi, anasema mpango wa kukata umeme, ulioanza...
Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya
-Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc.
-Sticker(Car)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.