kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

    Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge Tunakosa tena...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasheria masuala ya kazi msaada tafadhali

    Habari wakuu vipi wazima? Mimi mzima nina swali naomba nikuulize. Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi. Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477.
  7. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
  8. JamiiForums Tanzania Aomba kazi kwa kutumia Uchawa

    Angalia hapa jinsi huyu Chawa alivyoomba kazi,
  9. JamiiForums Tanzania Kazi zinasimama, Wototo wanatoroka mashuleni, shangwe kila kona…Siku kama ya Leo Gaucho anatwaliwa na AC Milan

    Siku kama ya Leo Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de assis Moreirra aliezaliwa Port Aregre Nchini Brazil alikubali kujiunga na klabu ya AC Milan ya Nchini Italia. Kuanzia Siku hio Mpaka tarehe alioshuka kwa Ndege Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa umati mkubwa wa Watu ulikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nadhani hizi ndizo sababu za ukatili kutoka kwa wadada wa kazi , Tuwaelewe na tuwasaidie

    Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine . Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi . Sasa uwaze...
  11. JamiiForums Tanzania Kama kazi yako nitaitaja hapa chini, nakushauri fanya toba ili kizazi chako kisilaaniwe

    Laana ni nini? Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake. Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na...
  12. JamiiForums Tanzania Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

    Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel. Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake. Ombi langu Ni nyimbo gani za Mwasongwe hukuvutia na kukonga moyo wako pale huzitegeapo sikio ?
  13. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Katiba mpya ni Kitabu tu, Kenya Rais wao amegoma Kabisa kuitii Mahakama na hawana la kumfanya!

    Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta kazi yoyote halali

    Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie! Elimu, Diploma (education) Makazi, Dar es Salaam Tel no, 0748786954 Shukran!
  16. JamiiForums Tanzania Je unatatizo la umeme mdogo,motor na friji havifanyi kazi vizuri?

    Umeme mdogo usikkwamishe shughuri zako.. Nafynga vifaa vitakavyoondoa tatizo hilo katika vifaa vyako 0785165877 Transistor
  17. JamiiForums Tanzania Masters au PMP? Chagua Njia Bora kwa Ajili ya Kazi Yako! (Project Management Context)

    Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa kiasi kikubwa, lakini vina malengo tofauti. Hapa kuna uchambuzi kukusaidia kufanya uamuzi sahihi...
  18. JamiiForums Tanzania Kazi zilizotangazwa za mahakamani

    Naomba kuuliza kwa aliyeomba au aliyeajiriwa mahakamani...barua ya kuombea kazi na cv ni bora ziwe katika lugha ya kiswahili au kiingereza
  19. JamiiForums Tanzania Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

    Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote? Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…