kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Katiba mpya ni Kitabu tu, Kenya Rais wao amegoma Kabisa kuitii Mahakama na hawana la kumfanya!

    Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu...
  2. jitwangabalogi

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta kazi yoyote halali

    Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie! Elimu, Diploma (education) Makazi, Dar es Salaam Tel no, 0748786954 Shukran!
  3. Transistor

    JamiiForums Tanzania Je unatatizo la umeme mdogo,motor na friji havifanyi kazi vizuri?

    Umeme mdogo usikkwamishe shughuri zako.. Nafynga vifaa vitakavyoondoa tatizo hilo katika vifaa vyako 0785165877 Transistor
  4. E-Maestro

    JamiiForums Tanzania Masters au PMP? Chagua Njia Bora kwa Ajili ya Kazi Yako! (Project Management Context)

    Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa kiasi kikubwa, lakini vina malengo tofauti. Hapa kuna uchambuzi kukusaidia kufanya uamuzi sahihi...
  5. vampire123

    JamiiForums Tanzania Kazi zilizotangazwa za mahakamani

    Naomba kuuliza kwa aliyeomba au aliyeajiriwa mahakamani...barua ya kuombea kazi na cv ni bora ziwe katika lugha ya kiswahili au kiingereza
  6. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

    Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote? Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya kidato cha nne, natafuta kazi

    Ndugu zangu natafuta kazi yeyote ya halali mim ni me(24) elimu yangu 4m4 ninaujuzi wa computer napatikana dar mawasiliano yangu 0783090144
  9. Baba Atifah

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop HP probook used as new

    HP PRO BOOK core i5 Generation 4 Ram 4 GB 2.60GHz Window 11 pro 500 GB Cd door WiFi Bluetooth price 390,000 Call 0692562259
  10. Azarel

    JamiiForums Tanzania CRDB kupitia SIMBANKING imefeli kabisa kufanya kazi vizuri

    Habarini Wadau, CRDB benki kongwe na yenye Qateja lukuki hapa nchini inakera sana na sasa haiaminiki tena katika huduma yake ya SIMBANKING Wiki mbili zilizopita nilienda kwa Wakala ili kutoa kiasi flan cha pesa, ilikuwa ni asubuhi saa 3, ila kila ukijaribu kufanya transaction kwa njia ya...
  11. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Usibebe Mzigo Peke Yako

    Usibebe Mzigo Peke Yako 1. Usihifadhi hisia zako mbaya moyoni bila kushirikisha mtu. 2. Tafuta msaada unapohisi kuzidiwa na matatizo. 3. Ongea na marafiki au familia unapokutana na changamoto kubwa. Ukweli ni kwamba... 1. Kunyamaza na kubeba mzigo peke yako kunaweza kuathiri afya yako ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta kazi

    Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa zana za kisasa kurahisisha kazi; Je, muda na masaa ya kazi yatabaki yalivyo?

    Nimejiuliza sana na wewe unaweza jiuliza kidogo , unatumia masaa mangapi kufanya kazi, kwa mfano wewe ni mwalimu unatumia muda gani darasani,kusahisha na kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, je kazi unazofanya ni fair utoke asubuhi hadi saa Tisa unusu , nimejitafakari nimegundua per day nafanya...
  17. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kuchomelea (Welding)

    Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu. Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding. Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne. Ni kijana wa miaka 30 na ana uzoefu wa kufanya kazi Tanzania na Afrika Kusini katika kazi za kawaida na...
  18. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

    Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu. Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea. Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne. Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu Mali nikimiliki hazidumu. Nimefilisika...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi za nyumba naomba kazi

    Habari wakuu, Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa. Mimi napatikana Dar es...
  20. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Naombeni 'connection' ya kazi

    Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
Back
Top Bottom