kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. jangoma

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  2. boufer

    JamiiForums Tanzania Nina cheti cha ADO, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
  3. boufer

    JamiiForums Tanzania Nina Ado, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM Asanteni
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za kuchafuana zashika kasi CCM Moshi mjini

    Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani. Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port Golber ametangaza kuwa kazi katika bandari ya Eilat imesimama kabisa

    Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini." https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  9. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

    Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge Tunakosa tena...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  11. frank mkweli

    JamiiForums Tanzania Wanasheria masuala ya kazi msaada tafadhali

    Habari wakuu vipi wazima? Mimi mzima nina swali naomba nikuulize. Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi. Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477.
  13. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aomba kazi kwa kutumia Uchawa

    Angalia hapa jinsi huyu Chawa alivyoomba kazi,
  15. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Kazi zinasimama, Wototo wanatoroka mashuleni, shangwe kila kona…Siku kama ya Leo Gaucho anatwaliwa na AC Milan

    Siku kama ya Leo Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de assis Moreirra aliezaliwa Port Aregre Nchini Brazil alikubali kujiunga na klabu ya AC Milan ya Nchini Italia. Kuanzia Siku hio Mpaka tarehe alioshuka kwa Ndege Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa umati mkubwa wa Watu ulikuwa...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani hizi ndizo sababu za ukatili kutoka kwa wadada wa kazi , Tuwaelewe na tuwasaidie

    Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine . Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi . Sasa uwaze...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kazi yako nitaitaja hapa chini, nakushauri fanya toba ili kizazi chako kisilaaniwe

    Laana ni nini? Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake. Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

    Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel. Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake. Ombi langu Ni nyimbo gani za Mwasongwe hukuvutia na kukonga moyo wako pale huzitegeapo sikio ?
  19. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom