kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. CYTON TECH

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  2. The Eric

    JamiiForums Tanzania Unapenda kudate wanawake wenye kazi gani/carrer

    Salaam Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi 😅😅😅 Katika kumi na nane za kula apple 🍎 kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni worldwide). Binafsi yangu nawapenda polisi yaani askari wakike huwa wananitoa udenda vibaya mno, kuna wanao...
  3. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kazi ni utu, kazi ni ibada

    Habari wanazuoni, Leo Najaribu kutafakari juu ya; 👉Thamani ya mtu inajulikana kwa kiwango cha juhudi na ufanisi wake katika kazi,Pia tabia ya mtu na utu wake inaoneshwa vizuri zaidi kupitia jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kazi. Mfano hai 1.Swali la kwanza ukweni kijana anaetaka kumposa...
  5. Tanki

    JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

    Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katambi azindua Kamati ya kuratibu uhamaji nguvu kazi

    KAMATI YA KURATIBU UHAMAJI NGUVUKAZI YAZINDULIWA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Patrobas Katambi amezindua Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu itakayoratibu Mradi wa Uhamaji Nguvukazi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika. Mhe...
  8. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

    Assalam Allaykum, Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

    KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi za uzalishaji Mali, kujipatia kipato ili uweze kuishi. Yàani Mûngu anapokuambia Fanya Kazi...
  10. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Accountant na Admin Officer Wanahitajika

    Habari Anahitajika Accountant na Administration Officer, wenye uzoefu usiopungua Miaka 2. Mkoa: Dodoma Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

    Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza. Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni; 1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo) 2. Kuliwaibua wabunge...
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

    📷📷
  15. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

    Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo i/ legal research and writing skills, ii/...
  16. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

    Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani Napata makapi vinono navitamani
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hivi albadil inafanyaje kazi?

    Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko. Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Meneja wa MORUWASA asimamishwa kazi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usimpatie mtu kazi kwa kumuonea huruma

    Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako. Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kusimamia 4R kwa vitendo,Watendaji wa chini msomeni Bosi anataka nini,acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo: 1. utendaji wenye kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo.Mara nyingi hawa vijana wameonekana kukiuka hizi taratibu...
Back
Top Bottom