Habari wana JF
Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako?
i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu.
ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama .
1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi
2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”.
Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao.
Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six
Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo
Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga
Napatikana kwa 0622905303
Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: "Chakula kiko tayari?"
Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu.
Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏.
Update:
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee.
Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi.
Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana...
Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali.
Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu.
Jipende jilinde
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Habari wadau
Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa
Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity.
Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.
Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.