kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta kazi

    Habari za siku kadhaa ndugu zangu. Narudi tena kwenu wakuu. Week kadhaa zilizopita nilileta bandiko la kutafuta kazi hapa, sipendi nieleze tena mapito yangu ila nataka kusema tu bado kwa upande wangu giza ni kubwa sioni mwangaza Nimejaribu haya kwa upande wangu 1. Nimejaribu viwandani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha, Polisi alimtumaje KAZI Mjeshi?

    Salaam, shalom!! Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI. Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  4. C

    JamiiForums Tanzania UPO BUSY? NIONE NIKUSAIDIE KAZI

    Habari! Pamoja na kazi yangu ya ulinzi, napenda kuwajulisha kuwa naweza kukusaidia kwenye mambo mengine kwa gharama nafuu. Hapa chini ni huduma zangu: Mafunzo ya Kitaaluma: Unahitaji msaada katika masomo? Niko tayari kukuandaa au mwanafunzi wako katika masomo ya Kiingereza, Hesabu, Sayansi kwa...
  5. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi napatikana Dar

    Jamani niko Dar hapa naombeni please nisaidieni conection ya kazi please 0625544723
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Waiter at Altezza Travel August, 2024

    Company Description Altezza Travel is a team of dedicated wildlife specialists based in Kilimanjaro Tanzania. Our mission is to turn your Tanzanian dreams into reality by organizing top-notch Kilimanjaro climbing expeditions and wildlife safaris. We prioritize unparalleled safety standards...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Fanyeni kazi vijana hela zipo nje nje ukifanya kazi. Acheni ngonjera eti kuna serikali ya kuwajazia pesa mifukoni

    Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

    Hii kitu inafikirisha sana🥲 Kazi ufanye na kampuni X Mafao ulipwe na kampuni Y
  9. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

    Tigo na Halotel bundles Tu #0658204909
  11. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI.

    Habari wadau. Anatakiwa doctor wa mifugo mwenye uzoefu na mifugo. Vigezo ... Awe amesomea hiyo na ana documents zinazomuonyesha hivyo, awe Ni mkazi wa dar es salaam, na awe tayari kukaa site kwa muda wote wa kazi zake, Awe Ni msichana umri 19 mpaka 22, Kwa aliye tayari tuwasiliane chap.0712378559.
  12. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
  13. M

    JamiiForums Tanzania IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

    Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari. Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  15. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya udereva popote

    Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva, Kumuendesha mtu, Kiongozi, Gari la shule, taasisi, kampuni n.k Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
  16. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hiyo picha itafukuzisha kazi mtu. Ni suala la wakati tu…

    Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi. Mda utaongea.
  17. ninjajr

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

    Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
  19. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  20. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjiheshimu mnapokuwa maeneo ya kazi

    Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake. Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa, aisee nadhani mnaelewa ninachomaanisha. Kuna muda unakuta anajisahau anakaa vibaya, sometimes hadi...
Back
Top Bottom