kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kazi na matokeo ya kazi, ndiyo humheshimisha kiongozi yeyote, bila hivyo, machawa ni wapunaji tu

    Kama kukosolewa ni nongwa, na burudani ya moyo wa mfalume ipo kwenye kusifiwa, na kusifiwa huko kunasababishwa na mkono wenye kugawa vinono, basi utambue unajisumbua tu, wakosoaji hujikita katika kuangazia kile umeitendea Tanzania kama kiongozi mkuu Ukiona agenda yao imeungwa mkono na walio...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  4. JamiiForums Tanzania Panya 100 Wafuzu, waenda Ughaibuni kufanya kazi

    Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  7. JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  8. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi

    Wakuu habarini za wakati, Mmi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer nimefanya kwenye moja ya microfinance na sasa nimejitolea auditing firm Premium Plus Association (PPA)...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Qur’an haijawahi kufanyiwa mabadiliko? — uchambuzi wa kisayansi na kihistoria

    Moja ya madai maarufu miongoni mwa Waislamu duniani ni kwamba Qur’an haijawahi kubadilishwa hata herufi moja tangu ilipoteremshwa kwa Nabii Muhammad. Lakini je, historia na sayansi ya maandiko inathibitisha hili? Leo nitachambua ushahidi wa kihistoria, nukuu kutoka kwa wasomi wa Kiislamu, na...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    Natafuta Fursa ya Ajira – Legal Assistant / Company Secretary / Personal Secretary / Legal Consultant Mimi ni binti aliyehitimu Shahada ya Sheria, naishi morogoro, mchapakazi, mwaminifu, na mwenye maadili ya kazi. Nina hamasa ya kutumia taaluma yangu kusaidia kampuni, taasisi au mtu binafsi...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  13. JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  15. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi. Tukio hilo ambalo...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

  17. JamiiForums Tanzania Mshahara mpya umeongezwa lakini nchi Haina furaha

    Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi ! Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa mwenye connection yoyote ya kazi nipo arusha

    Habarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa Ahsanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…