kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi

    Wakuu habarini za wakati, Mmi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer nimefanya kwenye moja ya microfinance na sasa nimejitolea auditing firm Premium Plus Association (PPA)...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Qur’an haijawahi kufanyiwa mabadiliko? — uchambuzi wa kisayansi na kihistoria

    Moja ya madai maarufu miongoni mwa Waislamu duniani ni kwamba Qur’an haijawahi kubadilishwa hata herufi moja tangu ilipoteremshwa kwa Nabii Muhammad. Lakini je, historia na sayansi ya maandiko inathibitisha hili? Leo nitachambua ushahidi wa kihistoria, nukuu kutoka kwa wasomi wa Kiislamu, na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    Natafuta Fursa ya Ajira – Legal Assistant / Company Secretary / Personal Secretary / Legal Consultant Mimi ni binti aliyehitimu Shahada ya Sheria, naishi morogoro, mchapakazi, mwaminifu, na mwenye maadili ya kazi. Nina hamasa ya kutumia taaluma yangu kusaidia kampuni, taasisi au mtu binafsi...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  6. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  8. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi. Tukio hilo ambalo...
  9. TAJIRI MSOMI

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mshahara mpya umeongezwa lakini nchi Haina furaha

    Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi ! Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  12. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  13. Msela Lowkey

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa mwenye connection yoyote ya kazi nipo arusha

    Habarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa Ahsanteni
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wenye connection ya kazi hapa ndio uwanja wenu

    Hii ni kwa ajili wenye connection ya kazi
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mdada wa Kufanya kazi Barbershop - Mazingira ya kazi ni mazuri

    Anahitajika mdada anayejua vizuri huduma za salon, Kindly check me inbox
  18. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi, Jeneral Jacob Nkunda awaonya Askari wa JWTZ kujihusisha na siasa

    Mkuu wa Majeshi Jeneral Jacob Nkunda, amewaonya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutojihusha na masuala ya kisiasa na jeshi halitasita kumfuta kazi askari atakayebainika kujihusisha na katazo hilo. Mkuu wa Majeshi Jenerali Nkunda ametoa onyo hilo alipokuwa kwenye Shule...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Vijana wetu wanahangaika kupata kazi, unatoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri wakati umeajiriwa?

    Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
  20. Moha 255

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya tax, mtandao

    Habari, Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi… “Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
Back
Top Bottom