kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

    Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini. Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi THSTDA. TCB, IJA,

    Ref.No.EA.7/96/01/K/181 6th April, 2020 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Smallholder Tea Development Agency (TSHTDA), Tanzania Coffee Board (TCB) and the Institute of Judicial Administration Lushoto...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wazururaji hawataenda gerezani bali watafanya kazi za kuzibua mitaro, kufyeka nyasi na kusafisha barabara

    Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amesema watu watakaokamatwa wakizurura jijini Dar watawajibishwa kwa kuzibua mifereji, kufyeka nyasi, kufagia barabara na kufanya kazi nyingine za usafi. Makonda amesema hatawaweka mahabusu wazururaji kwa ajili ya kuepusha msongamano wakati huu wa Corona. Hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Data Manager at THPS

    Overview Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministries of Health Community Development Gender Elderly and Children (MoHCDGEC) and Regional Administration and...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Deputy Human Resources Manager

    Position: DEPUTY HUMAN RESOURCES MANAGER( Nduta Camp - Kibondo) Médecins Sans Frontières (MSF) Job Summary Implement general administrative procedures in order to ensure documentary traceability as well as compliance with local labour and fiscal regulations, under the Project Finance & Human...
  6. JamiiForums Tanzania Mashine za kutafsiri kazi za Ubongo

    WANASAYANSI wameweza kuongeza utaalamu zaidi wa kutambua jinsi binadamu anavyozungumza kwa kuangalia mfumo wa ubongo wake. Wataalamu hao wameweza kuhamisha mfumo wa ubongo kwa jinsi sentensi zinavyoundwa katika uhalisia na kupata kiwango cha makosa cha asilimia tatu katika neno. Awali mashine...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina bachelor degree ya mechanical engineering natafuta kazi

    Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanne wasimamishwa kazi Kenya

    Hatimaye serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri ya kutotoka nje ya saa moja usiku hadi saa kumi na moja asubuhi. Idara ya usalama imetangaza kuwa polisi wanne wamesimamishwa kazi kusubiri...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi za vyama vya siasa

    Salaam wanajamvi, Tukiwa tunaendelea kupambana vita dhidi ya kirusi Covid 19 au Corona, nimeona tukumbushane kidogo baadhi ya kazi za vyama vya siasa pamoja na asasi zisizo za kiserikali. Pamoja na mambo mengine kazi za vyama vya siasa ni pamoja na kuelimisha wananchi juu ya haki za binadamu...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha, masomo yangu ni Kiingereza na Kiswahili

    Mimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha. ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiacha kazi NSSF hawataki kutoa hela zako? Je, ni baada ya muda gani watakulipa?

    wadau naomba kuuliza, mimi nilikuwa nafanya kazi kwenye taasis flani ya private lakini niliacha na kwenda serikalini. Nilikwenda kufuatilia pesa zangu NSSF wakaniambia kama umeacha huwezi kupewa labda ungefukuzwa, nikasema msinipe cash bali mpeleke kwenye mfuko wa serikali PSSSF lakini bado...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nina elimu ya form 4, natafuta kazi yoyote

    Wasalaam ndugu. Natafuta kazi.. Nina elimu ya form 4 niliyoipata Azania secondary school. Elimu ya kidato cha sita nimeipata Kibasila High school. Ninauwezo wa kutumia computer kwa ufasaha na kuchapa kazi kwa kutumia Ms word na Ms Excell. Nina uwezo wa kuandika muswada wa filamu(script...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Profesa Mohamed Janabi, akiunganishwa na Taarifa za Corona (Usahihi wa Taarifa)

    Usiku wa leo imesambaa taarifa kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi amejiuzulu kwa shinikizo baada ya kutoa maoni yake kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa Corona nchini. Taarifa hizo zimekanushwa; Kwa mujibu wa barua hiyo inayoonesha Profesa Janabi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Unafanyia kazi nyumbani? Madokezo haya yanaweza kukusaidia katika kufanikisha majukumu yako

    Kwa watu wengi kufanya kazi wakiwa nyumbani ni uzoefu mpya na wasichojua ni kuwa inahitaji nidhamu ya juu kumaliza kazi na kupata matokeo chanya. Fanya haya ili uweze kupata matokeo chanya. 1. KUWA NA SEHEMU MAALUM YA KUFANYIA KAZI Sio kila mtu ana chumba cha kujisomea au ofisi ya nyumbani. Ila...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ATS Tsebo Tanzania

    ATS Tsebo Tanzania is currently seeking to appoint an Assistant Accountant Reports to: ATS Tsebo Project Accountant. Education/Experience/Qualifications/Skill Requirements Minimum Qualifications: Diploma/Degree in related field. Job related work experience: – A good understanding of our...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Aga Khan Health Service

    The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) an institution of The Aga Khan Development Network, has completed a major expansion of the Aga Khan Hospital. Dar es Salaam. This expansion aims at enhancing the Hospital’s facilities, technology and capacity which will allow it to become the leading...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Mzumbe University

    Mzumbe University invites applications from suitably qualified and competent Tanzanian to fill the following Contract vacant posts: 1. SUPPLIES ASSISTANT II (2 Post) - Main Campus in Morogoro (a) Qualification and Experience Holder of Form IV or VI Certificate with passes in...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi BELL B30E ADT OPERATOR / FABEC GGM

    Position BELL B30E ADT OPERATOR / FABEC GGM Number of positions · 7 Qualifications: · Completion of Secondary School Education · Basic Numeracy and Verbal / Written English · Heavy Vehicle Driver’s License Experience: · Minimum 5 years work...
  20. JamiiForums Tanzania Medical checkup kabla ya kazi imekaaje hii?

    Samahanini wandugu humu, Nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba ni cha medical checkups hivi ni wanaangalia nini na nini katika hiyo checkups lyk magonjwa specifia au full kila kitu au physical checkups like blood group,uwezo wa macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…